Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

yaah, kabla ya kubuy pale anaangalia tu kwenye maelezo ya bidhaa wanaonyesha inaatumia pin ngapi. shida yake tu bei imeizidi rx 580 kwa zaidi ya laki moja.
Ila kwa long term 1060 ni nzuri zaidi, idle inatumia 5W tu, kwenye gaming around 100W na peak around 125W.

Rx 580 idle ni almost 20W, gaming ni around 200W na peak inaenda hadi 220W.

So hizo watts 100W difference in long term Tanesco watachukua Hela zao.
 
so mpaka sasa gtx 1060 ni kama imeshinda, kuanzia requirements.
 
tofauti ya budget ni ndogo. wakati huo rx580 inataka mambo mengi.
 
so mpaka sasa gtx 1060 ni kama imeshinda, kuanzia requirements.
Alternartive nyengine ni kununua mpya, Gtx 1650 ama Rx 6400xt, hizi hutangaika na powersupply na bei zinashuka, juzi nimemchukulia mtu 6400xt kila kitu mpaka hapa 450k, hapo haipo kwenye sale, ukivizia black friday, ama sale nyengine unaweza pata hizo range za 350k.
 
Vram zake zinakuwa maximum GB ngap izo mkuu?
 
4GB, ila vram sio issue, Bandwidth ni muhimu kuliko idadi ya GB, unatakiwa uangalie aina ya ram iliotumia ddr4, Gddr5, Gddr6 etc then uangalie na memory Bus 64bit, 128bit, 256bit etc ukipata bandwidth ndio unajua kama ita handle game za kisasa.
 
Hard disk kama jina lilivyo ni Disk ndani kunakuwa na kitu kama CD kinazunguka na kuhifadhi vitu.

Ssd ni flash kama memory card sema zinapangwa nyingi na zinakuwa na speed sana.

Machine yenye ssd inakuwa na speed sana kufanya mambo ya kawaida ya kila siku, ukiwa na ssd yenye speed kubwa computer inawaka ndani ya sekunde 10 tu,

Hdd zenyewe zipo slow ila ni bei rahisi.
Shukrani Sana mkuu
 
4GB, ila vram sio issue, Bandwidth ni muhimu kuliko idadi ya GB, unatakiwa uangalie aina ya ram iliotumia ddr4, Gddr5, Gddr6 etc then uangalie na memory Bus 64bit, 128bit, 256bit etc ukipata bandwidth ndio unajua kama ita handle game za kisasa.
Chief nje ya Maada, naomba utaalamu kuhusiqna na hizi TV mbili.
Kati ya LG Nanocell 65 inch.. NANO 86 na Samsung QLED INch 65 Q65A....
Ipo ni nzuri kuichukua ??
 
Hizo LG hujaniambia model zake mkuu
 
Hizo LG hujaniambia model zake mkuu
Muuzaji anasema hii Nanocell 86 ina ubora same na Samsung QLed 65Q70A.

So kama nataka Kuchukua 65Q65A ni bora nichukue hiyo NANO86...

Hapa unaonaje Chief
Screenshot_20221104-060233_WhatsApp.jpg
Screenshot_20221104-060257_WhatsApp.jpg
 
Muuzaji anasema hii Nanocell 86 ina ubora same na Samsung QLed 65Q70A.

So kama nataka Kuchukua 65Q65A ni bora nichukue hiyo NANO86...

Hapa unaonaje ChiefView attachment 2406253View attachment 2406254
Mkuu hii nanocell una plan kuitumia na Vitu kama PC as a monitor? Ama ni matumizi tu ya kawaida ya Nyumbani? Una internet yenye speed? Unaangalia Netflix?

Hii Samsung ni overall better kuliko Nano ila kila moja ina Strength zake, nano inafaa kama Monitor Samsung vitu kama Movie na HDR contents.

All in All zote ni tv midrange za kawaida na vioo vyake si vizuri kutumia eneo ambalo halina mwanga.

Kama budget inaruhusu Tafuta Highend kama za LG zenye Oled ama Qled.
 
Matumizi ya kawaida ya nyumbani!
Hata Netflix huwa hatuangalii.
 
Matumizi ya kawaida ya nyumbani!
Hata Netflix huwa hatuangalii.
Mkuu hio Samsung ni Overall TV nzuri zaidi kushinda LG, ila LG kwa. Matumizi yako pemgine ikawa nzuri zaidi.

LG ina upscale vizuri content za 480p na 720P ambazo tv zetu nyingi za kina Azam na Startimes wanatumia, kama matumizi yako makubwa ni haya chukua hio nano86.
 
Shukrani!
 
4GB, ila vram sio issue, Bandwidth ni muhimu kuliko idadi ya GB, unatakiwa uangalie aina ya ram iliotumia ddr4, Gddr5, Gddr6 etc then uangalie na memory Bus 64bit, 128bit, 256bit etc ukipata bandwidth ndio unajua kama ita handle game za kisasa.
Oooh shukran mkuu sikuwa n elimu nacho icho pia Ila unaweza kunifafanulia vzur kuhusu bandwidth why iwe na nguvu kupita vram yenyew kuhusu gddr izo kidogo nauwelewa nacho hapo kwenye bandwidth! Tu
 
Ukitaka kuipata hii concept, computer zetu zina ram, mfano kama yako ni gen ya 4 ina ddr3, kuanzia gen ya 6 ni ddr4, gen ya 12 na zen 4 ni ddr5 etc. Why gpu iwe na ram wakati tayari computer zetu zina ram? Tena ya kutosha?

Jibu hapa ni ram zetu hazina speed, texture za game ni nyingi na zinatakiwa kuwa processed kwa haraka hivyo inahitajika ram ambazo zina specialise kwenye hizi issue.

Ili kupata speed kubwa kuna kitu kinaitwa bus na Chanell

Kwenye desktop yako unakuta slot 2 ama 4 za kuwekea ram, kikawaida computer inakuwa na Chanell 2 za 64bit ina maana bus lake linakuwa 64+64 ambayo ni 128bit.

Gpu tofauti na computer kabisa inakuwa na chanel nyingi sana za 32bit sometime bus linakuwa 256bit (chanel 8 ambayo ni 32x8) ama 384 etc.

Bandwidth unaipata kutokana na wingi wa chanell (upana wa basi) na tech ya memory ddr3, ddr4, ddr5 etc.

Kifupi ni kwamba gpu zina speed kuliko computer ram zake ili kuisaidia computer kwenye mambo ambayo ram zake haiwezi.

Sasa ukichukua gpu yenye Vram 8 ama 16GB lakini ni Ddr3 na machine yako ni ddr4 ama ddr5 itakusaidia nini? Sababu tayari machine yako ina Bamdwidth kubwa kuliko Gpu.

Mfano halisi ni Nvidia gt 730 ina Vram 4GB ila inapitwa mbali na rx 550, Gtx 750 ti na gt 1030 zenye vram 2GB.

Ila baada ya kusema haya Vram ikiwa nyingi pia ina faida yake (assume tayari bandwidth ipo ya kutosha) jinsi unavyokuwa na Vram nyingi ndio jinsi Texture nyingi zinakuwa processed kwa pamoja ndio jinsi utaweza run games kwa resolution kubwa.

Kila resolution na Vram inayohitajika.

-720P ni 2GB vram
-1080p ni 2GB hadi 6GB
-1440p ni 4GB hadi 8GB
-4K ni 8GB kupanda.

So kama unacheza 1080 medium setting 4GB vram itatosha even high setting baadhi ya games ila kuwa safe 6GB vram itahitajika kama una target games zote ucheze 1080p kwa best setting.
 
Back
Top Bottom