Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Hapo nimeelewa vyakutosha mkuu ubarikiwe Sana Kaka Hii elimu sikuwa nayo kabla umenifundisha kitu hapa
 
Nimeangalia hio GTx 1650 kwa game zakisasa unacheza mpk ultra settings na unapata frame rate nzuri Hii lazima itakuwa GDDR6 Mkuu sio
 
Nimeangalia hio GTx 1650 kwa game zakisasa unacheza mpk ultra settings na unapata frame rate nzuri Hii lazima itakuwa GDDR6 Mkuu sio
Ni Gddr5, Rx 6400 ndio in Gddr6 sema 1650 ina bus kubwa 128bit.

1650 kwa 1080p haitasumbua same kwa Rx 6400. Sema sio games zote utapata 1080p 60fps kwa high setting nyengine medium ama hata low. Kitu kama Cyberpunk huwezi kumax 1080p na gtx 1650.
 
boss zile monitors za Dell na LG(4k) zimeshauzwa

nina laptop imekufa kioo nilikuwa nataka nitumie monitor kma replace yake

so nilikuwa nahitaji monitor nzuri hasa upande wa kucheki media na game kidogo

unashauri ipi ya kununua bajeti yangu ni 400000tsh.
 
Kibongo bongo mkuu unatafuta tu mtumba, ukisema utafute specific model fulani unaweza ukakesha, tafuta mtumba model kadhaa compare na specs unazohitaji then chukua inayofaa kwa mahitaji.

Kama hujali ukubwa kuna mdau aliwahi kunionesha hii

Ni 2k (1440p) na specs zake nyingi za kisasa ni IPS, ina Usb type C, Display port in na out kwa ajili ya multi monitor etc.
 
so ni value for money??
 
Habari wakuu, huu mzigo unafaa kwa matumizi ya kawaida kama word, excel na GIS?
Pia vipi thamani ya fedha inaendana na bidhaa yenyewe?
 
Habari wakuu, huu mzigo unafaa kwa matumizi ya kawaida kama word, excel na GIS?
Pia vipi thamani ya fedha inaendana na bidhaa yenyewe?View attachment 2409442
Hio sio pc lakini ni Chromebook haina Microsoft word na Excel ulizozizoea utapata tu program za online za Office na Google docs. Pia utaweza tumia apps za Android.
 
Hio sio pc lakini ni Chromebook haina Microsoft word na Excel ulizozizoea utapata tu program za online za Office na Google docs. Pia utaweza tumia apps za Android.
kaka nimefanikiwa kuchukua ile hp monitor e273q ni kweli ni qhd ila ipo model hyo hyo ambayo inaishiwa na m ni full hd pekee

sasa shida ile laptop yangu (imekufa kioo) ukiiwasha inaaunguruma tu kwa sauti ukubwa na haiendelei chochote na inapata moto sanaa upande wa feni

model yke ni e655

msaada tafadhali??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…