Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ukitaka kuipata hii concept, computer zetu zina ram, mfano kama yako ni gen ya 4 ina ddr3, kuanzia gen ya 6 ni ddr4, gen ya 12 na zen 4 ni ddr5 etc. Why gpu iwe na ram wakati tayari computer zetu zina ram? Tena ya kutosha?

Jibu hapa ni ram zetu hazina speed, texture za game ni nyingi na zinatakiwa kuwa processed kwa haraka hivyo inahitajika ram ambazo zina specialise kwenye hizi issue.

Ili kupata speed kubwa kuna kitu kinaitwa bus na Chanell

Kwenye desktop yako unakuta slot 2 ama 4 za kuwekea ram, kikawaida computer inakuwa na Chanell 2 za 64bit ina maana bus lake linakuwa 64+64 ambayo ni 128bit.

Gpu tofauti na computer kabisa inakuwa na chanel nyingi sana za 32bit sometime bus linakuwa 256bit (chanel 8 ambayo ni 32x8) ama 384 etc.

Bandwidth unaipata kutokana na wingi wa chanell (upana wa basi) na tech ya memory ddr3, ddr4, ddr5 etc.

Kifupi ni kwamba gpu zina speed kuliko computer ram zake ili kuisaidia computer kwenye mambo ambayo ram zake haiwezi.

Sasa ukichukua gpu yenye Vram 8 ama 16GB lakini ni Ddr3 na machine yako ni ddr4 ama ddr5 itakusaidia nini? Sababu tayari machine yako ina Bamdwidth kubwa kuliko Gpu.

Mfano halisi ni Nvidia gt 730 ina Vram 4GB ila inapitwa mbali na rx 550, Gtx 750 ti na gt 1030 zenye vram 2GB.

Ila baada ya kusema haya Vram ikiwa nyingi pia ina faida yake (assume tayari bandwidth ipo ya kutosha) jinsi unavyokuwa na Vram nyingi ndio jinsi Texture nyingi zinakuwa processed kwa pamoja ndio jinsi utaweza run games kwa resolution kubwa.

Kila resolution na Vram inayohitajika.

-720P ni 2GB vram
-1080p ni 2GB hadi 6GB
-1440p ni 4GB hadi 8GB
-4K ni 8GB kupanda.

So kama unacheza 1080 medium setting 4GB vram itatosha even high setting baadhi ya games ila kuwa safe 6GB vram itahitajika kama una target games zote ucheze 1080p kwa best setting.
Hapo nimeelewa vyakutosha mkuu ubarikiwe Sana Kaka Hii elimu sikuwa nayo kabla umenifundisha kitu hapa
 
Nimeangalia hio GTx 1650 kwa game zakisasa unacheza mpk ultra settings na unapata frame rate nzuri Hii lazima itakuwa GDDR6 Mkuu sio
 
Nimeangalia hio GTx 1650 kwa game zakisasa unacheza mpk ultra settings na unapata frame rate nzuri Hii lazima itakuwa GDDR6 Mkuu sio
Ni Gddr5, Rx 6400 ndio in Gddr6 sema 1650 ina bus kubwa 128bit.

1650 kwa 1080p haitasumbua same kwa Rx 6400. Sema sio games zote utapata 1080p 60fps kwa high setting nyengine medium ama hata low. Kitu kama Cyberpunk huwezi kumax 1080p na gtx 1650.
 
boss zile monitors za Dell na LG(4k) zimeshauzwa

nina laptop imekufa kioo nilikuwa nataka nitumie monitor kma replace yake

so nilikuwa nahitaji monitor nzuri hasa upande wa kucheki media na game kidogo

unashauri ipi ya kununua bajeti yangu ni 400000tsh.
 
Kibongo bongo mkuu unatafuta tu mtumba, ukisema utafute specific model fulani unaweza ukakesha, tafuta mtumba model kadhaa compare na specs unazohitaji then chukua inayofaa kwa mahitaji.

Kama hujali ukubwa kuna mdau aliwahi kunionesha hii

img_2781-jpg.2379947

Ni 2k (1440p) na specs zake nyingi za kisasa ni IPS, ina Usb type C, Display port in na out kwa ajili ya multi monitor etc.
 
so ni value for money??
 
Habari wakuu, huu mzigo unafaa kwa matumizi ya kawaida kama word, excel na GIS?
Pia vipi thamani ya fedha inaendana na bidhaa yenyewe?
IMG-20221001-WA0007.jpg
 
Habari wakuu, huu mzigo unafaa kwa matumizi ya kawaida kama word, excel na GIS?
Pia vipi thamani ya fedha inaendana na bidhaa yenyewe?View attachment 2409442
Hio sio pc lakini ni Chromebook haina Microsoft word na Excel ulizozizoea utapata tu program za online za Office na Google docs. Pia utaweza tumia apps za Android.
 
Hio sio pc lakini ni Chromebook haina Microsoft word na Excel ulizozizoea utapata tu program za online za Office na Google docs. Pia utaweza tumia apps za Android.
kaka nimefanikiwa kuchukua ile hp monitor e273q ni kweli ni qhd ila ipo model hyo hyo ambayo inaishiwa na m ni full hd pekee

sasa shida ile laptop yangu (imekufa kioo) ukiiwasha inaaunguruma tu kwa sauti ukubwa na haiendelei chochote na inapata moto sanaa upande wa feni

model yke ni e655

msaada tafadhali??
 
Back
Top Bottom