Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

hizo 1650 zipo za 6gb au nazo mwisho ni 4gb tu?
Sema rx 6400 bei zinashuka naona $137 sasa hivi na kuna kipindi sale hadi $110-$120. Equivalent ya hio 1650ti, ni single slot na low profile pia umeme haili sana ~50W
 
Mimi naomba msaada wa kupata Microsoft Office 2019 with activation keys. Maana naoata changamoto sana
 
 
Kila nikijaribu kufungua Outook 2016 wanadai update to new version 365. Uwezo wa hiyo mgumu. Msaada Kaka.
Sio Tangazo tu? Huwezi itumia hio Outlook?

Alternative nunua email ya Chuo Marekani utapata office 365 bure.
 
@Chief-Mkwawa

Kwa laptop ya HP EliteBook 840 G4 imekuja na ssd ya 256, itakuwa ni sata ile, ila ina slot ya kuchomeka tena ssd yenye pengo moja. Je nikitaka kuongeza unashauri nini?

Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
una maanisha m.2? kama hii?


vyema ssd ikawa ni m2 incase una uwezo wa kuinunua, zina speed kuliko sata, then hio sehemu ya sata ukaweka hdd ya kuhifadhia mambo usiyotumia mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…