Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,501
1050ti kwa 1.5m achana nayo, angalau kwa mbali 1650ti ila 1060 ingekua nzuri zaidi.core i7 8genView attachment 2469811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1050ti kwa 1.5m achana nayo, angalau kwa mbali 1650ti ila 1060 ingekua nzuri zaidi.core i7 8genView attachment 2469811
kaka sorry kwa 350000tsh haraka haraka simu gani tunapata1050ti kwa 1.5m achana nayo, angalau kwa mbali 1650ti ila 1060 ingekua nzuri zaidi.
Redmi 10C mkuu, Tigoshop.kaka sorry kwa 350000tsh haraka haraka simu gani tunapata
Nop, Mwisho 1650 kwa lowprofile zinazoendeelea zote zinahitiaji power toka psu.mkuu hii ni low profile?View attachment 2475363
ooh shukran sanaa mkuuNop, Mwisho 1650 kwa lowprofile zinazoendeelea zote zinahitiaji power toka psu.
hizo 1650 zipo za 6gb au nazo mwisho ni 4gb tu?Nop, Mwisho 1650 kwa lowprofile zinazoendeelea zote zinahitiaji power toka psu.
4gb tuhizo 1650 zipo za 6gb au nazo mwisho ni 4gb tu?
Sema rx 6400 bei zinashuka naona $137 sasa hivi na kuna kipindi sale hadi $110-$120. Equivalent ya hio 1650ti, ni single slot na low profile pia umeme haili sana ~50Whizo 1650 zipo za 6gb au nazo mwisho ni 4gb tu?
Software za kisasa nyingi hutumii key ku activate. Hapo hadi kmsMimi naomba msaada wa kupata Microsoft Office 2019 with activation keys. Maana naoata changamoto sana
Kila nikijaribu kufungua Outook 2016 wanadai update to new version 365. Uwezo wa hiyo mgumu. Msaada Kaka.Software za kisasa nyingi hutumii key ku activate. Hapo hadi kms
Software za kisasa nyingi hutumii key ku activate. Hapo hadi k
Software za kisasa nyingi hutumii key ku activate. Hapo hadi kmsKila nikijaribu kufungua Outook 2016 wanadai update to new version 365. Uwezo wa hiyo mgumu. Msaada Kaka.Out safe site ya kupata hacked Microsoft Office bora ili nikiipata niweze update kwa KMSSoftware za kisasa nyingi hutumii key ku activate. Hapo hadi kms
Sio Tangazo tu? Huwezi itumia hio Outlook?Kila nikijaribu kufungua Outook 2016 wanadai update to new version 365. Uwezo wa hiyo mgumu. Msaada Kaka.
Inakataa kabisa mpaka nime uninstall office na kuweka upya. Kila nikilog in inagoma. Ila ile outlook web inakubali.Sio Tangazo tu? Huwezi itumia hio Outlook?
Alternative nunua email ya Chuo Marekani utapata office 365 bure.
kikawaida unadownload office na crack pamoja, cheki torrent.Inakataa kabisa mpaka nime uninstall office na kuweka upya. Kila nikilog in inagoma. Ila ile outlook web inakubali.
Asante sana Mkuukikawaida unadownload office na crack pamoja, cheki torrent.
@Chief-Mkwawa4gb tu
una maanisha m.2? kama hii?@Chief-Mkwawa
Kwa laptop ya HP EliteBook 840 G4 imekuja na ssd ya 256, itakuwa ni sata ile, ila ina slot ya kuchomeka tena ssd yenye pengo moja. Je nikitaka kuongeza unashauri nini?
Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app