Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,761
Am4 inakubali Ryzen zote mkuu mpaka 5xxx series, kuanzia 7xxx series ndio zinataka Am5.Nafikiri kufanyia kazi hili wazo lako.
View attachment 2934249
Hii itakubali hiyo processor yangu ya ryzen 5 3400g??
Poa boss jamaa pia kanipa mwongozo ngoja niilipie. Chamoto case nzuri nitumia ipi mkuu ili mobo ikae poa.Am4 inakubali Ryzen zote mkuu mpaka 5xxx series, kuanzia 7xxx series ndio zinataka Am5.
Kupata uhakika zaidi unaangalia website ya gigabyte.
B550M GAMING (rev. 1.x) Key Features | Motherboard - GIGABYTE Global
Lasting Quality from GIGABYTE.GIGABYTE Ultra Durable™ motherboards bring together a unique blend of features and technologies that offer users the absolute ...www.gigabyte.com
Ama wasiliana na seller Aliexpress akupe uhakika zaidi.
Case mkuu inategemea na wewe, kama hutaki urembo na hujali muonekano Kariakoo na machinga Complex kuna case used za kutosha tu.Poa boss jamaa pia kanipa mwongozo ngoja niilipie. Chamoto case nzuri nitumia ipi mkuu ili mobo ikae poa.
Poa nikipata ya hp pavilion TP01 itakuwa poa.?Case mkuu inategemea na wewe, kama hutaki urembo na hujali muonekano Kariakoo na machinga Complex kuna case used za kutosha tu.
Otherwise itabidi uagizishie nje.
Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.Poa nikipata ya hp pavilion TP01 itakuwa poa.?View attachment 2934346View attachment 2934347
Nimechukua B450M mkuu.Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.
Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.
Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
Mkuu samahani Sana kuna swali nje ya mada naomba kuuliza 🙏🙏🙏🙏🙏Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.
Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.
Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
Unaweka, hata Nokia ya tochi miaka 10 iliopita inakaa cha muhimu tu format kutokana na simu yako inataka nini.Mkuu samahani Sana kuna swali nje ya mada naomba kuuliza 🙏🙏🙏🙏🙏
Hivi unaweza ukatumia simu ya uwezo kama redmi note 8 halafu ukaweka memory card ya 2TB na ikafanya kazi kama kawaida??? Au itabidi kuchukua memory ndogo ili simu iweze kufanyakazi inavyotakiwa???
Ok Asante Sana mkuuUnaweka, hata Nokia ya tochi miaka 10 iliopita inakaa cha muhimu tu format kutokana na simu yako inataka nini.
Sema kuwa makini sd card za 2TB likely ni fake
Habari mkuu nishapata case moja atxSina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.
Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.
Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
Bei kiasi gani mkuuHabari mkuu nishapata case moja atx
Case ya asus psu watt 500 na cpu cooler.
Nimepatia machinga complex leo
So nasubiri motherboard ifike niunganishe mashine.
View attachment 2935248View attachment 2935252View attachment 2935254
Habari mkuu nishapata case moja atxSina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.
Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.
Cha muhimu mkuu ni kujua motherboard yako ni form factor gani kwa case yetu hapa B550M inakubali Atx so case yoyote ambayo ni Atx iwe full tower ama midtower itakubali.
Cooler 10,000 case 25000 psu 50,000Bei kiasi gani mkuu
Bei nzuri sana mkuu, ana mzigo mkubwa ama ndio za kubahatisha.Habari mkuu nishapata case moja atx
Case ya asus psu watt 500 na fane...
Nimepatia machinga complex leo
So nasubiri motherboard ifike niunganishe mashine
View attachment 2935248View attachment 2935252View attachment 2935254
Cooler 10,000 case 25000 psu 50,000
Jumla 85000.
Yaah bei imekuwa nafuu kwangu maana kwa hela hiyo ningpata PSU tu huku AliExpress na ningelazimika kuongeza hela kidogo tena.Bei nzuri sana mkuu, ana mzigo mkubwa ama ndio za kubahatisha.
Gpu nimeletewa nowBei nzuri sana mkuu, ana mzigo mkubwa ama ndio za kubahatisha.
Samahani mkuu naomba kuuliza, nataka nichukue computer ambayo oia itaweza ku run adobe premiere? naje nitaipata kwa kiasi gani cha fedha?Bei nzuri sana mkuu, ana mzigo mkubwa ama ndio za kubahatisha.
Kwenye Video editing Nvidia then intel then AmdSamahani mkuu naomba kuuliza, nataka nichukue computer ambayo oia itaweza ku run adobe premiere? naje nitaipata kwa kiasi gani cha fedha?
Napata mpya au used?Kwenye Video editing Nvidia then intel then Amd
Adobe premier minimum ni intel gen ya 7 kama unatumia Quicksync japo mimi na recomend angalau gen ya 8 ili upate all around machine.
Na kwa Machine ya Nvidia minimum ni gtx 1050.
Kwa Laptop nyingi zinaanzia around laki 5 na desktop around laki 4 zenye hizo specs.
Pia naweza weka naki game mfano mm kuna ka game ka online nataka nikaweke kanaitwa doomsday last survivor.Kwenye Video editing Nvidia then intel then Amd
Adobe premier minimum ni intel gen ya 7 kama unatumia Quicksync japo mimi na recomend angalau gen ya 8 ili upate all around machine.
Na kwa Machine ya Nvidia minimum ni gtx 1050.
Kwa Laptop nyingi zinaanzia around laki 5 na desktop around laki 4 zenye hizo specs.
Zote used mkuu, Kwa mpya i3 gen ya 12 unaweza ukaipata online around laki 8 hivi.Napata mpya au used?