Top for B
JF-Expert Member
- Mar 4, 2023
- 803
- 2,796
Asante nataka kununua pc ya laki nne-tano kwa matumizi ya kawaida sijui specs btw.I5 gen ya 6 haina issue, bei ikikaribia laki 5 angalau gen ya 8 iwe minimum ama equivalent Ryzen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nataka kununua pc ya laki nne-tano kwa matumizi ya kawaida sijui specs btw.I5 gen ya 6 haina issue, bei ikikaribia laki 5 angalau gen ya 8 iwe minimum ama equivalent Ryzen.
Cpu ya maana na ina nguvu, sema Xeon si ya matumizi madogo, ina nguvu na pia inakula umeme balaa na haina gpu nzuri hadi uongeze mwenyewe.Intel(R) Xeon(R) CPU E5-16500 @ 3.20GHz
RAM 16.00 GB.
nafikiria nichukue hii computer kwa kazi ndogo kama;browsing the web,checking email, and watching videos .
CHIEF MKWAWA
Asante mkuu.Cpu ya maana na ina nguvu, sema Xeon si ya matumizi madogo, ina nguvu na pia inakula umeme balaa na haina gpu nzuri hadi uongeze mwenyewe.
Hapo cpu pekee itakula 130W, bado vifaa vingine, utashangaa machine nzima inakula watts 300 na upuuzi.
Unanunua kiasi gani?
Laki 2 na nusu tafuta Ryzen mkuuAsante mkuu.
Kaniambia laki mbili na nusu ni used , lakini condition yake ipo vzr.
Shukrani Sana mkuu kwa mwongozo.Laki 2 na nusu tafuta Ryzen mkuu
Ryzen 2400G zimezagaa mtaani sasa hivi as cheap as 230,000,
![]()
Desktop Computer HP EliteDesk 705 G3 8GB AMD Ryzen 7 HDD 500GB
Hp elitedesk 705 g4 pc amd ryzen 3 pro 2000g processor 3.6ghz max. turbo 3.9ghz 4 nucleos ram 8gb ddr4 storage hdd 500gb video amd radeon vega 11 slot pci express 16x v3 06 usb 2.0 04 usb 3.1 gen...jiji.co.tz
Kama ilivyo inafaa kazi zako, baadae in future ongeza ram iwe 16GB na weka ssd.
Hio Ryzen inakula umeme kidogo sana, ina gpu yake ya ndani tayari, na pia ni toleo la karibuni utapata features za kisasa kama Port za Type C na support ya vitu kama 4k display.
Hii naweza weka na adobe premiere?Laki 2 na nusu tafuta Ryzen mkuu
Ryzen 2400G zimezagaa mtaani sasa hivi as cheap as 230,000,
![]()
Desktop Computer HP EliteDesk 705 G3 8GB AMD Ryzen 7 HDD 500GB
Hp elitedesk 705 g4 pc amd ryzen 3 pro 2000g processor 3.6ghz max. turbo 3.9ghz 4 nucleos ram 8gb ddr4 storage hdd 500gb video amd radeon vega 11 slot pci express 16x v3 06 usb 2.0 04 usb 3.1 gen...jiji.co.tz
Kama ilivyo inafaa kazi zako, baadae in future ongeza ram iwe 16GB na weka ssd.
Hio Ryzen inakula umeme kidogo sana, ina gpu yake ya ndani tayari, na pia ni toleo la karibuni utapata features za kisasa kama Port za Type C na support ya vitu kama 4k display.
Unaweza ila sio ideal, hio kwa games ipo vyema zaidi.Hii naweza weka na adobe premiere?
Kama ilivyo inacheza ndioVipi Kuhusu Gaming Fifa22 Au GTA V inacheza Kwa Hiyo Desktop Chief Ikiwa Na Spefication Hizo Hizo
Kama ilivyo inacheza ndio
Gta V
View: https://m.youtube.com/watch?v=XWSi22OzLwM&t=333s
Fifa 23
View: https://m.youtube.com/watch?v=Icud6bNsziY
Sema ili u take advantage inabidi iwe na ram mbili, kama ndani wamekuekea 8GB moja utatakiwa utafute 8GB nyengine ziwe 16 ili gpu itumie zote 2.
580 nadhani ni 8 pin Gpu hazitakubali hizi elitedesk, kwa HP ni Z series, kwa Dell precision na workstation nyengine zitakubali.Chief habari...
Nimeagiza rx 580 8gb ukipita pita huko ukaona desktop nzuri tower yenye processor ya ryzen 5/7 kwa bei nafuu nijulishe mkuu hasa napendelea hizi hp elitedesk 800 g3/g4. Maana tayari kama hiyo g4 psu yake tayari ni watt 500.
Ile 705 g5 bado ninayo na inasukuma game zote frsh tu hata cod black ops cold war, cyberpunk 2077 na far cry 6 zinacheza kwa 1080p bila shida nataka tu kupanda nicheze game zote kwa utra settings.
Review za walionunua ziko poa. Pia kuna jamaa alinunua iko poa.580 nadhani ni 8 pin Gpu hazitakubali hizi elitedesk, kwa HP ni Z series, kwa Dell precision na workstation nyengine zitakubali.
Njia nyengine ambayo nafkiri ni kununua zile motherboard za mtumba Aliexpress, za Am4, unatumia hio hio 3400G yako, ram na hdd yako unabadili tu PSU ili ku accommodate hio 580.
Pia kuwa makini nasikia watu wana tabia ya kubadili bios za rx za chini kama 570 ama 560 etc then zinasoma kama 580, unatakiwa ukipata tu tumia software kama Gpu Z kusoma idadi ya core gpu yenye Nayo, kwa 580 ni kama 2300.
Z si zinatumia processor za xeon?Z series
Hata i series inategemea na model, pia hizo Xeon nazo inategemea na model vile vile zipo ambazo ni nzuri japo kibongo bongo na huu umeme vyema utafute cpu inayo kula umeme chini ya 100W.Z si zinatumia processor za xeon?
So hp elitedesk 800 g4 haifai.. naiona iko bomba tu gen ya 9.Hata i series inategemea na model, pia hizo Xeon nazo inategemea na model vile vile zipo ambazo ni nzuri japo kibongo bongo na huu umeme vyema utafute cpu inayo kula umeme chini ya 100W.
Ryzen za zen 2 (3xxx series, 4xxx series na baadhi 5xxx series) na zen 3 (5xxx series) zina make sense zaidi ila kuzipata ni issue sana.
Kuna HP victus inakuja na Ryzen 5600G na Ebay sometime around $200-300 unazipata ila kusafirisha ndio mziki.
G4 mkuu ndo tuliicheki maximum ni 400W ambayo ilikua na 6 pin connector, unless nimemiss something.So hp elitedesk 800 g4 haifai.. naiona iko bomba tu gen ya 9.
Yaah. Halafu kuhusu psu naweza weka ya kununua atx psu ni 100000- 150000 AliExpress.G4 mkuu ndo tuliicheki maximum ni 400W ambayo ilikua na 6 pin connector, unless nimemiss something.
Kuna sehemu uliona zina possibility ya 500W?
Nafikiri kufanyia kazi hili wazo lako.Njia nyengine ambayo nafkiri ni kununua zile motherboard za mtumba Aliexpress, za Am4, unatumia hio hio 3400G yako, ram na hdd yako unabadili tu PSU ili ku accommodate hio 580.