Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,701
Kwa hio bei sio mbaya mkuu ilaChief Kuna duka Moja k.koo nimeona wanauza Lenovo core i7 11gen zinakua na Nvidia mx 350 nataka nichukue Moja kwa gaming vip itafaa maana ni used unaweza nipa pia makadirio ya bei nzur nicije kupigwa
1. I7 Gen ya 11 inapitwa nguvu hadi na i3 gen ya 12
2. Mx350 haina utofauti sana na ile Rx 550 yako so utacheza games kwa 720P games mpya mpya 1080p hazitacheza.
Uzuri ni kwamba Gen ya 11 haili sana umeme na hio Mx350 pia haili sana umeme,
So angalia mwenyewe matumizi yako na Quality unayo target.