Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,681
Generation mkuu ni shortcut ya hayo uliyoyataja. Ukichagua gen ya kisasa automatic Ram inakua nzuri, core zinakua nyingi etc. Gen ya 11 i5 inaanzia angalau core 4 na thread 8, ram ddr4. Pia wingi wa core si kigezo pekee bali nguvu ya core pia.Dah shukrani nilijaribu kununua hapa Laptop nilichokutana nacho huko nisaidie mkuu 🤣🤣🤣 maana kimenitoa ushamba nimeenda kwenye filter nashangaa nimeandika core i5 nikaulizwa with hiw much procesor count sasa ikanichanganya kidogo so ukitoa generation kwamfano...
Ni hiyo core i5 with 11 generation na processor count ipi ni nzuri au number of core zipi ni nzuri...
I mean imenichanganya kidogo kuona processor type na processor count na generation na nimeona pia hapa kwenye GPU dedicated na integrated...na kuhusu Memory technology
Gen ya 11 itaanziwa na 11 mfano i5 1135G7, gen ya 12 itaanziwa na 12 etc.
Pia sio lazima intel kuna amd pia, nayo iwe angalau ryzen 5000 series kuendelea.
Kuhusu GPU ni dedicated ndio maana nikakuambia kuhusu Nvidia.
Memory isikusumbua sana automatic laptop za hizo gen ni ddr4 na zitakua na ssd.