Unaijuaje kama ina snapdragon 4 gen 1?Note 12 nzuri zaidi na A15 ni kama backup tu.
Sema mkuu hakiki ni note 12 yenye snapdragon 4 gen 1, kuna variety nyengine kama 12C, sijui redmi 12 etc ambazo zina processor dhaifu.
Angalia specs kwenye box, ukipata mkononi weka app za ku angalizia specs kama cpu z kujuaUnaijuaje kama ina snapdragon 4 gen 1?
Hiyo je?Angalia specs kwenye box, ukipata mkononi weka app za ku angalizia specs kama cpu z kujua
Ndo yenyewe mkuu,
Sijui niagize Aliexpress?Ndo yenyewe mkuu,
Kama soko la ndani unaipata 380 not worth it kuagizishia Aliexpress kwa hio bei.Sijui niagize Aliexpress?
Hii mkuu unaionaje? Nimeipenda hii etiKama soko la ndani unaipata 380 not worth it kuagizishia Aliexpress kwa hio bei.
Dimensity 700 ni slow compare na sd 4 gen 1 pia hio brand haieleweki inawezekana hata picha isiwe simu halisi.Hii mkuu unaionaje? Nimeipenda hii etiView attachment 3001875
Kuna hii pia kaka naona hata coment za watu wanaisifiaDimensity 700 ni slow compare na sd 4 gen 1 pia hio brand haieleweki inawezekana hata picha isiwe simu halisi.
Usiamini comments za AliExpress sana, binafsi sikushauri, hii hata soc inayotumika hawajaandika.Kuna hii pia kaka naona hata coment za watu wanaisifiaView attachment 3002147
Dah! Nilizunguka Shinyanga nzima nikakosa Redmi note 12 ikanibidi nichukue note 13.Usiamini comments za AliExpress sana, binafsi sikushauri, hii hata soc inayotumika hawajaandika.
Mkuu laptop za kizamani sana hizi, unazipata kwa bei gani?Chief-Mkwawa naomba nisaidie nichukue mashine ipi kati ya hizi, matumizi yangu ni graphics, programming na gaming kidogo.
Hp 820 g2
Corei5
Ram 4
HDD 500
5th generation
13"screen size
4 hours durability
2.50ghz
LENOVO YOGA 12
Corei7 π
Ram 8
HDD 500 (+16ssd)
5th generation
Backlight keyboard
Processor speed 2.60ghz
Touch and pen
X360 convertible
USB adapter β
Min-HDMI
2 USB port
DELL 5440
CORE'5
HDD 500
RAM 8GB
X180
HDMI
Ethernet
3.0ghz USB port
Battery 4 hours online
Panasonic Cf
CORE i5
2.70 ghz
8gb ram
256 gb ssd
Dah! ndio zipo ndani ya bajeti yangu. Zinarange kwenye 275000 hadi 350000Mkuu laptop za kizamani sana hizi, unazipata kwa bei gani?
Kwa hii budget mkuu ukitafuta vizuri unapata Ryzen za zamani kama 2500U na 3500u, hizi zina core 4 compare na core 2 ya laptop ulizolist. Kwenye issue za graphics, gaming, 3d rendering, programing etc itakusaidia.Zinarange kwenye 275000 hadi 350000
Shukran sana, ngoja nifanyie kaziKwa hii budget mkuu ukitafuta vizuri unapata Ryzen za zamani kama 2500U na 3500u, hizi zina core 4 compare na core 2 ya laptop ulizolist. Kwenye issue za graphics, gaming, 3d rendering, programing etc itakusaidia.
Jinsi ya kuzipata cheki tu site za online kama kupatana, jiji na fb marketplace mfano hii
Chief-Mkwawa natafuta laptop itafit budget yangu around 800k-850k nafanya music production so software zake huwa zinahitaji laptop yenye uwezo kama tu software za graphics. sihitaji brand new nataka used au refurbished unaweza kurecommend ipi mkuuKwa hii budget mkuu ukitafuta vizuri unapata Ryzen za zamani kama 2500U na 3500u, hizi zina core 4 compare na core 2 ya laptop ulizolist. Kwenye issue za graphics, gaming, 3d rendering, programing etc itakusaidia.
Jinsi ya kuzipata cheki tu site za online kama kupatana, jiji na fb marketplace mfano hii
Shukran sana, ngoja nifanyie kazi
Mkuu unaweza nitajia majina ya software husika?Chief-Mkwawa natafuta laptop itafit budget yangu around 800k-850k nafanya music production so software zake huwa zinahitaji laptop yenye uwezo kama tu software za graphics. sihitaji brand new nataka used au refurbished unaweza kurecommend ipi mkuu
OUTPUT ARCADE, IZOTOPE OZONE 11, WAVES 15, KONTAKT 7Mkuu unaweza nitajia majina ya software husika?