Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Note 12 nzuri zaidi na A15 ni kama backup tu.

Sema mkuu hakiki ni note 12 yenye snapdragon 4 gen 1, kuna variety nyengine kama 12C, sijui redmi 12 etc ambazo zina processor dhaifu.
Unaijuaje kama ina snapdragon 4 gen 1?
 
Angalia specs kwenye box, ukipata mkononi weka app za ku angalizia specs kama cpu z kujua
Hiyo je?
Screenshot_20240527-223909.jpg
 
Chief-Mkwawa naomba nisaidie nichukue mashine ipi kati ya hizi, matumizi yangu ni graphics, programming na gaming kidogo.

Hp 820 g2
Corei5
Ram 4
HDD 500
5th generation
13"screen size
4 hours durability
2.50ghz

LENOVO YOGA 12
Corei7 🚀
Ram 8
HDD 500 (+16ssd)
5th generation
Backlight keyboard
Processor speed 2.60ghz
Touch and pen
X360 convertible
USB adapter ✅
Min-HDMI
2 USB port

DELL 5440
CORE'5
HDD 500
RAM 8GB
X180
HDMI
Ethernet
3.0ghz USB port
Battery 4 hours online

Panasonic Cf
CORE i5
2.70 ghz
8gb ram
256 gb ssd
 
Mkuu laptop za kizamani sana hizi, unazipata kwa bei gani?
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Kwa hii budget mkuu ukitafuta vizuri unapata Ryzen za zamani kama 2500U na 3500u, hizi zina core 4 compare na core 2 ya laptop ulizolist. Kwenye issue za graphics, gaming, 3d rendering, programing etc itakusaidia.

Jinsi ya kuzipata cheki tu site za online kama kupatana, jiji na fb marketplace mfano hii

Chief-Mkwawa natafuta laptop itafit budget yangu around 800k-850k nafanya music production so software zake huwa zinahitaji laptop yenye uwezo kama tu software za graphics. sihitaji brand new nataka used au refurbished unaweza kurecommend ipi mkuu
Shukran sana, ngoja nifanyie kazi
 
Chief-Mkwawa natafuta laptop itafit budget yangu around 800k-850k nafanya music production so software zake huwa zinahitaji laptop yenye uwezo kama tu software za graphics. sihitaji brand new nataka used au refurbished unaweza kurecommend ipi mkuu
Mkuu unaweza nitajia majina ya software husika?
 
Back
Top Bottom