Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #581
650 mkuu
budget hii huwezi pata mpya mkuu, ila ukiongeza kidogo around 700,000 hadi 800,000 unaweza ukapata laptop mpya ya i3 7100u hii itacheza games nyingi low setting. ukikosa hio i3 6100u pia sio mbaya sana au i5 6200u.
unaweza ukaenda youtube search HD 620 gaming ili uone perfomance yake kwenye games.
kwa used unaweza kutafuta za 4TH gen, hizi zinapatikana around 500,000 kwa i5 au i7, ukipata yenye gpu dedicated za nvidia au amd itakuwa vizuri zaidi.
mahala pa kuzipata ni kupatana, jumia, zoomtanzania na site nyengine za online, kuwa tu makini na matapeli.