Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #581
650 mkuu
uwezekano mkubwa ni HDD imecheza au imeharibika, ifungue then iweke sawa uone kama itatatua.Nimefurah sana kuuona uzi huu, samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo naomba msaada wako. Natumia Toshiba satellite c660-16c Intel celeron, juzi ilidondoka baada ya kudondoka ikawa nikitaka kuiwasha inaniletea ujumbe ufuatao "this windows failed to start, a recent hardware or software change might be the cause." tafadhali naomba msaada wako mkuu.
nimeshajaribu lakin naona tatizo bado lipo vilevile, naweza kupata HDD mpya kwa shiling ngap ?uwezekano mkubwa ni HDD imecheza au imeharibika, ifungue then iweke sawa uone kama itatatua.
30,000 mpaka 130,000 kwa 160Gb used mpaka 1TB mpya.nimeshajaribu lakin naona tatizo bado lipo vilevile, naweza kupata HDD mpya kwa shiling ngap ?
Chief sory kwa ku interfere mjadala,,ivi mkuu hiii desktop GPU ya Nvidia GTX 1060,kwa hapa bei za bongo ni shingap kama unajua madili yake! naulizia hiii gtx 1060-3gb version sema sas kibongo bongo nahis itakuwa 1M30,000 mpaka 130,000 kwa 160Gb used mpaka 1TB mpya.
tafuta mtu mwenye external ipachike hio HDD yako uangalie kama bado ni nzima.
gpu ya dola 50 bongo unaweza ukaaambiwa 450,000, elimu ya hizi gpu ni ndogo sana na watu wananunua.Chief sory kwa ku interfere mjadala,,ivi mkuu hiii desktop GPU ya Nvidia GTX 1060,kwa hapa bei za bongo ni shingap kama unajua madili yake! naulizia hiii gtx 1060-3gb version sema sas kibongo bongo nahis itakuwa 1M
Sent using Jamii Forums mobile app
pia kuna jamaa wanajiita epic computers wana gpu hizimaana online naona zipo kwa bei nzuri xanaaa,bt izi issues za ku buy online ndo cziwez kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitoke nje ya hii mada kidogogpu ya dola 50 bongo unaweza ukaaambiwa 450,000, elimu ya hizi gpu ni ndogo sana na watu wananunua.
mtumie Mwl.RCT ananunulia watu vitu online,
hope unajua kwamba gpu zinaenda na power supply, ikiwa ndogo basi gpu haitaperform vizuri.
duuu aiseee gtx 1050 ti kwa 550,000! hapa kuna ulazima wa ku oder tuuu,xaxa balaa lake ndo hapo,ngoja nijepia kuna jamaa wanajiita epic computers wana gpu hizi
rx 550 ya 2GB kwa 370,000
rx 550 ya 4GB kwa 400,000
gtx 1050ti ya 4GB kwa 550,000
adress hii
Graphics Card – Epic Computers
ni expensive bado ila hizo ni gpu muafaka za matumizi ya kitanzania.
kila wakizindua iphone mpya muda huu wa mwaka wanatoa na ios mpya, hilo linajulikana mbona, kuwa na subira mkuu utaiona tu, sasa hivi utalishwa matangaro pori, hizi leaks sio 100% true nyengine zinakuwa kweli na nyengine fake.Nitoke nje ya hii mada kidogo
Ni kweli leo Apple wanatoa ios mpya?
Je itakuwa na mabadiliko gani?
hutazipata nzuri mkuu, around 30,000 hivi zimejaa kibao aggrey, unless uzunguke machinga complex na aggrey wanapouza desktop used upate ambayo wameichomoa kwenye desktop pengine itakuwa nzuri.mkuuu chief ivi power supply ya 500 watts kwa hapa bongo inafika had bei gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuu xo mpya ngumu kupata!? 500 watts au zaidi nataka brand new!hutazipata nzuri mkuu, around 30,000 hivi zimejaa kibao aggrey, unless uzunguke machinga complex na aggrey wanapouza desktop used upate ambayo wameichomoa kwenye desktop pengine itakuwa nzuri.
battery lake halitoki? mkuu ngumu sana kukuta tutorial za vitu vya africa tu youtube.Mkuu unaweza nisaidia tutorial ya kufanya replacement ya tecno w5 battery youtube.ahsanteh
Battery yake ni built in mkuubattery lake halitoki? mkuu ngumu sana kukuta tutorial za vitu vya africa tu youtube.