Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
10,000 mpaka 15,000 na mtaa wa uhuru na msimbazi kuja uhuru congo zipo kibao maduka ya computer.
processor zote za core 2 duo ni za zamani 2010 kushuka, hio itafaa tu mambo madogo madogo, tegemea ipate joto sana, isikae na chaji, itumie umeme mwingi etc.Vipi kwa hii mkuu msaada plzz HP 6530b processor-duo core 2.4GHz Ram 2GB HDD 250GB
Samahan chief kati ya Dell insipirion 1440 na Dell vostro 1014 zote zikiwa na ram ya 2GB na HDD 320 processor ya 2.23GHZ ipi ni bora kuliko nyingineprocessor zote za core 2 duo ni za zamani 2010 kushuka, hio itafaa tu mambo madogo madogo, tegemea ipate joto sana, isikae na chaji, itumie umeme mwingi etc.
majina ya hizo processor ni muhimu mkuu.Samahan chief kati ya Dell insipirion 1440 na Dell vostro 1014 zote zikiwa na ram ya 2GB na HDD 320 processor ya 2.23GHZ ipi ni bora kuliko nyingine
Zote ni duo core mkuumajina ya hizo processor ni muhimu mkuu.
zinakuwa na majina mkuu hata hizo core 2 duo, nenda my computer kisha right click halafu properties kuona.Zote ni duo core mkuu
Duh hapo ndo patam nmepewa majina tu hata laptops zenyewe hazipo hapa ngoja nifuatilie nionezinakuwa na majina mkuu hata hizo core 2 duo, nenda my computer kisha right click halafu properties kuona.
mkuu hizo graphics uli update toka site ya intel kabisa?Habarini, asante sana kwa mleta uzi! Nina shida kwenye laptop yangu, ni Dell E6410, i5, RAM 4GB, Processor 2.67Ghz, HDD 320, Windows 10 Pro! Lakn ninapata shida moja, kila ninapo-play videos au movies zina-stuck/jam, nilidhania ni tatizo la graphics, nika-update, lakn tatizo bado liko palepale! Nimejaribu kutumia media players tofautitofauti km VLC na nyinginezo, lakn bado inakuwa inastuck! Kwa yeyote mwenye idea, msaada wenu wakuu
inga jukwaa lolote juu kulia utaona sehemu kumeandikwa post new thread bonyeza hapoSamahani nimevamia thread yako naomba wadau mnisaidie jinsi ya kupost Jamii forum
View attachment 631752View attachment 631753View attachment 631754View attachment 631755 chief mkwawa msaada kuhusu hzo laptops , je ipi kali zaidi kwa heavy tasks kama kucheza games kubwa kubwa za kisasa na ambayo ni value for money?
Shukrani mkuu ila nahisi ni refurbished laptops wanazouza, kingine nahisi wanauza kwa bei ya jumla jumlamkuu hizo bei ni nzuri kupita kiasi mpaka napata wasi wasi anaweza kuwa tapeli.
kwa heavy task hio i5 7300HQ au i7 yake yaani 7700HQ na nvidia 1050ti inakufaa. ila hakikisha hio i7 ni kama hio nilioitaja na sio ile inayoishia na u kama 7600u.
hizo zinazoishiwa na HQ zina core nyingi i5 ni core 4 na thread 4 wakati i7 ni core 4 na thread 8. ila kama unafanya multithreaded works nyingi kama video editing itakufaa zaidi hio i7.
inawezekana, kama wanatoa warranty sio mbaya, bei ni nzuri sana hizo. na hata generation ni mpya.Shukrani mkuu ila nahisi ni refurbished laptops wanazouza, kingine nahisi wanauza kwa bei ya jumla jumla
Hapana mkuu, nimetumia driver pack solution na nyinginezo, hiyo website ya Intel siijui, km hutojali unawezanisaidia hiyo link! Na kwa movies ni videos ninazoplay zote ni HDmkuu hizo graphics uli update toka site ya intel kabisa?
na hizo video/movie ni za kawaida HD? au
ingia hapaHapana mkuu, nimetumia driver pack solution na nyinginezo, hiyo website ya Intel siijui, km hutojali unawezanisaidia hiyo link! Na kwa movies ni videos ninazoplay zote ni HD