Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nje ya mada ila hivi vitu ni kweli inawezekana ama laah na mechanism gani hapa inatumika
[] [How To Make a Wireless Charger at Home - Very Easy Way - YouTube]

sijaangalia hizo video ila ni kitu cha kawaida inawezekana.

wireless charger inakuwa ndani ya simu, ni hardware kama inasuport simu kwanini ushindwe kutengeneza?
 
.ungeangalia ungeelewa mkuu swali langu liko wapi ila shukrani japo sijapata jibu bado
 
huo ni uongo mkuu, nimecheki eti inacharge 100ft.

wireless charging ya sasa ni kama sentimita 4 tu, na ili icharge vizuri inabidi kuwe na mgusano kati ya simu na wireless pad.

ndio maana amedisable comments ili mtu asimchallenge.
 
Ebana chief naomba unisaidie kusolve tatizo la simu kutokubali ku-log in Instagram na kuleta huu ujumbe.
2816c8f7244294f9a46e96730a59b5ee.jpg
 
cha kwanza angalia setting zako za internet, settings za wap/web zinazingua sana na kuchagua website.

nenda setting kisha mobile/cellular network kisha acess point utaziona hizo setting angalia zipi zipo.
 
Nimefanya hivyo lakini bado ina kuwa inasumbua kufungua. Cha kishangaza ni Instagram tu ndo yenye tatizo lakini apps zingine zipo sawa.
 
Sio kwamba umeifunga isitumie data?
 
Nimefanya hivyo lakini bado ina kuwa inasumbua kufungua. Cha kishangaza ni Instagram tu ndo yenye tatizo lakini apps zingine zipo sawa.
mkuu hujanijibu lakini hilo swali, una setting ipi na ipi?
 
Setting ni tigo web na airtel-internet kama nimeelewa swali lako basi hilo ndo jibu.
toa hio tigoweb tengeneza setting manual,

connection name andika chochote
apn andika internet

then save halafu activate hio setting mpya, then jaribu tena hio insta.
 
Mkuu samahan....kwne PC yangu kuna program nliinstall. Nlipoiinstall ikabadlsha display ya PC afu ikaanza kufungua web page yenyewe bla mm kufungua. Nkaiuninstall display ya PC ikarud ya kawaida ila webpage znajfungua tuu mkuu. Ani nkiiacha PC on nakuta webpage kwne Mozilla zmejfungua kbao. Msaada mkuu.
 
jaribu kudownload program inaitwa malware bytes, hii huwa haijawahi kuniangusha kwenye modern malware yoyote yule.
 
Back
Top Bottom