Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Core i5 3360m
hii ni Intel sio Amd na ni generation ya tatu, cpu bado ni ya kisasa na kwenye laptop inafanya mambo mengi ila gpu ni ndogo programs na games za kisasa itasumbuka kuzi run.
 
Wakuu kuna mashine ya jamaa angu hapa inazingua HDD hisomi shida inaweza kuwa nn?
 
Wakuu kuna mashine ya jamaa angu hapa inazingua HDD hisomi shida inaweza kuwa nn?
ameshajaribu kuitoa na kuirudisha tena? sometime zinalegea tu. ajaribu na kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kuieka kwenye case ya external ili ajue kama ni nzima
 
ameshajaribu kuitoa na kuirudisha tena? sometime zinalegea tu. ajaribu na kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kuieka kwenye case ya external ili ajue kama ni nzima
Chief una tricky yoyote ya ku-activate wndw 10 pro!?
 
VP mkuu hii mashine kwa hyo bei ni halali kweli? maana naona kma specifications zake na bei iliyotajwa havina uhusiano hta kidogo na mzigo ni brand new, na je inafaa kwa kucheza games za kisasa?
Screenshot_2018-04-18-21-41-53.jpg
 
VP mkuu hii mashine kwa hyo bei ni halali kweli? maana naona kma specifications zake na bei iliyotajwa havina uhusiano hta kidogo na mzigo ni brand new, na je inafaa kwa kucheza games za kisasa?View attachment 753169
probably ni tapeli, umehakiki huyo muuzaji anaaaminika?

hio laptop ni around 1.5 mpaka 2 million. no way iuzwe bei hio.
 
Back
Top Bottom