Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #801
angalia specs unaingia my computer kisha una right click kisha chagua properties.Vp kuhusu hp elitebook 8470p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia specs unaingia my computer kisha una right click kisha chagua properties.Vp kuhusu hp elitebook 8470p
haijawahi ku flashiwa?Infinix note 4
Hapana kwanza ni mpya ina mwezi..update nafanya mara kwa marahaijawahi ku flashiwa?
pengine ni Tatizo la modem,
angalia kama kuna update yoyote ujaribu kuieka.
labda upeleke service centre zao kama una warrantyHapana kwanza ni mpya ina mwezi..update nafanya mara kwa mara
Sawalabda upeleke service centre zao kama una warranty
angalia specs unaingia my computer kisha una right click kisha chagua properties.
hio pia sawaDxdiag
hio pia sawa
ndio mpaka niijue hio processor mkuu, maana zipo Amd nyingi.Ila mi nataka kujua tabia ya processor yake ni amd 64 inatofaut gan na izo za intel
ndio mpaka niijue hio processor mkuu, maana zipo Amd nyingi.
hii ni Intel sio Amd na ni generation ya tatu, cpu bado ni ya kisasa na kwenye laptop inafanya mambo mengi ila gpu ni ndogo programs na games za kisasa itasumbuka kuzi run.Core i5 3360m
mbona zipo nyingi tu kupatana? budget kiasi gani?Mkuu natafuta simu aina ya Samsung Second hand Chief-Mkwawa
ameshajaribu kuitoa na kuirudisha tena? sometime zinalegea tu. ajaribu na kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kuieka kwenye case ya external ili ajue kama ni nzimaWakuu kuna mashine ya jamaa angu hapa inazingua HDD hisomi shida inaweza kuwa nn?
Chief una tricky yoyote ya ku-activate wndw 10 pro!?ameshajaribu kuitoa na kuirudisha tena? sometime zinalegea tu. ajaribu na kufanya troubleshoot ndogo ndogo kama kuieka kwenye case ya external ili ajue kama ni nzima
umeshatumia KMS?Chief una tricky yoyote ya ku-activate wndw 10 pro!?
Sijawahi jaribu njia yoyote, ngoja nitaijaribu hiyo KMS.umeshatumia KMS?
probably ni tapeli, umehakiki huyo muuzaji anaaaminika?VP mkuu hii mashine kwa hyo bei ni halali kweli? maana naona kma specifications zake na bei iliyotajwa havina uhusiano hta kidogo na mzigo ni brand new, na je inafaa kwa kucheza games za kisasa?View attachment 753169