manonawire
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 943
- 1,223
Asante sana mkuuNi ndogo sana mkuu. Perfomace ya single thread ni kama i3 sema haina hyperthread hivyo kwenye multicore inapitwa na i3.
Sema hio ni APU hivyo kwenye graphics kidogo ipo vizuri. Inaweza fanana na 3rd gen ya intel.
Games za zamani kama 2014 kushuka nyingi unacheza na matumizi ya kawaida karibia mambo yote utafanya.
Chief hujakosea huyu jamaa ni tapeli, anachukua picha za watu wengine ana post kama zake analiza watu. Ukicheki jamaa: laptopbeipoa(houseofcomper) (@computerbeipoa2) • Instagram photos and videos mpaka kaamua kutoa warning kupatana kisa ya watu kama hawa.Naziona kupata hapa mkuu ila kengele ya utapeli inalia. Una mtu zanzibar unayemfahamu?
Hp Pavellion Core i7 (New**Offer) Zanzibar Urban/Wes1918036
Possibility ya kuwa tapeli huyo jamaa ni kubwa kama huna mtu wa kwenda kwenye duka lake usinunue kwa kutuma hela
Computer zake zimetulia ila bei ni balaaChief hujakosea huyu jamaa ni tapeli, anachukua picha za watu wengine ana post kama zake analiza watu. Ukicheki jamaa: laptopbeipoa(houseofcomper) (@computerbeipoa2) • Instagram photos and videos mpaka kaamua kutoa warning kupatana kisa ya watu kama hawa.
Kweli, lakini tatizo sielewi kuwa hizi ni new au refurbished; maana kama ni new basi ana bei nzuri kuliko cost ya mimi kuorder na kuileta mwenyewe toka Amazon hadi kuifikia mkononi.Computer zake zimetulia ila bei ni balaa
Ni refurbished kutokana na maelezo yake. Pia ni za mauzo sana hizo ultrabook, zipo ambazo bei zake ni afadhali kama hizo za gen ya 8 kuuzwa 1.4m sio mbaya. Ila gen za nyuma kama gen ya 3 kuuzwa laki 8 wakati kkoo unapata hadi laki 3 mpaka 4 ni ghali.Kweli, lakini tatizo sielewi kuwa hizi new au refurbished; maana kama ni new basi ana bei nzuri kuliko mimi kuorder na kuileta mwenye toka Amazon.
Mimi kwa kweli kanishika hapa:Ni refurbished kutokana na maelezo yake. Pia ni za mauzo sana hizo ultrabook, zipo ambazo bei zake ni afadhali kama hizo za gen ya 8 kuuzwa 1.4m sio mbaya. Ila gen za nyuma kama gen ya 3 kuuzwa laki 8 wakati kkoo unapata hadi laki 3 mpaka 4 ni ghali.
Kwa 1050 unaipata mpya mpaka around dola 600 wakati mwengine. 1050ti ndio inakuwa juu kidogo. Tena sasa hivi i5 ina core 6 badala ya nne ukipata i5 gen ya 8 ni bora kuliko i7 gen ya 7.Mimi kwa kweli kanishika hapa:
though ningefurahi kama ingekuwa na Gtx 1060 lakini hii specs zake zinanitosheleza kwa renders zangu After Effects au hata kwenye Gaming. Sema kwa hiyo bei, tena kama unavyosema refurbished. Napata wasi kidogo
Juzi niliongea na wale wa mama pale posta wanaokokotoa kodi, akaniambia kwa Laptop na Simu (electronics) wanakata tu 18%. Vitu kama nguo ndio wanakata 25% + 18%.Kwa 1050 unaipata mpya mpaka around dola 600 wakati mwengine. 1050ti ndio inakuwa juu kidogo. Tena sasa hivi i5 ina core 6 badala ya nne ukipata i5 gen ya 8 ni bora kuliko i7 gen ya 7.
Useme sijajua kodi inakuwaje, kama hizo pia zina exemption?
Fair kabisa, Kwa kina DHL na Fedex pia ina apply hivi?Juzi niliongea na wale wa mama pale posta wanaokokotoa kodi, akaniambia kwa Laptop na Simu (electronics) wanakata tu 18%. Vitu kama nguo ndio wanakata 25% + 18%.
Mkuu w520 ni workstation na my guess hio processor ni i7 2760QM nenda my computer kisha right click kisha properties kuthibitisha.Hii vp mkuu lenovo w520 i7 4gb ram 2.4ghz
Kuna tofauti gani kati ya QM na MQ?Mkuu w520 ni workstation na my guess hio processor ni i7 2760QM nenda my computer kisha right click kisha properties kuthibitisha.
Hio cpu ina nguvu sana inafanya almost matumizi yote heavy kwa ufanisi. Kuanzia games, video editing, CAD, etc
Sema Gpu yake sio nzuri sana, unles inakuja na dedicated gpu ya Nvidia ama Ati.
Pia sababu ina nguvu sana itakula sana umeme.
Hakuna kuanzia 1st to 3rd gen walitumia QM na 4th gen wakatumia MQ na HQ kuanzia 5th mpaka 7 wakaendelea na HQ na 8th wakatumia H.Kuna tofauti gani kati ya QM na MQ?
Inabidi utumie software za quicksync zitakuwa na speed. Nina pc yenye hio cpu, tafuta software inaitwa cyberlink powerdirector, itapiga kazi vizuri.View attachment 866905vp hii inafaa kwa ajili ya video editing mfano Kama zile za music video.pia app/program gan zinafaa kwa ajili ya Kuedit video wakuu.?
Kuna errror gani inatokea ikijizima? Laptop inatumia cpu ipi? Na game ni lipi?Habari chief nina laptop nikiingia games inajizima..?
Unaweza download trial toka website yao cyberlinkKuipata hyo ni online au...website ni ipi?
Nakushauli uingie youtube usearch jina la software umalize na full cracked. Utakayoipata check comments za wadau kama imeenda poa kwao then ktk read more utaona download links.Kuipata hyo ni online au...website ni ipi?
Mkuu jaribu ku update drivers zako za graphics kwanza. Ukiwa kwenye desktop uki righy click inakuja menu ya intel HD graphics?Intel i7 4700mq game ni ets2