Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Mkuu core 2 duo ni za zamani sana, iki stuck umejaribu kutumia mouse ya nje?
 
Wakuu kuna mtu kutoka zanzibar anataka aniuzie Laptop HP PaVilion RAM 16GB, 2tb HDD Kwa 460K anaefahamu hizi bidhaa maana bei na uwezo wa PC Naona haviendanii kabisaa au ni fake product

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini sana unapotaka kufanya biashara na wauzaji hasa wanaojinadi wako sijui zanzibar. Mwingine Tanga.. Ni heri ufanye na mtu ambaye uko nae eneo moja,unaenda unakagua na kujiridhisha.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Achana nayo mkuu, ni bora utafute i3 generation za karibu kuliko i7 gen ya 2, hasa kwa laptop.

Unless hio laptop ina dedicated graphics. Kama Nvidia
Mkuu machine yangu imegoma kuwaka kisa nilikuwa naifuta na fom ya kusafishia. Nimepeleka kwa fundi, kaniambia motherboard imeungua. Nitapata wapi motherboard mpya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hizi machine za kisasa kubadili motherboard mkuu ni sawa na kununua laptop mpya jiandae laki 6 hivi kupanda, nimecheki ebay zipo sema inabidi u double check mwenyewe exactly model ya motherboard yako maana same pc inaweza kuja na mootherboard tofauti.

Pia usiridhike na maneno ya huyo fundi nimeangalia youtube naona kuna tutorial mbalimbali hadi za kusafisha wine, tulia chini cheki tutorial za kurecover pc yako unaweza ukapata idea tofauti kabla ya kufikia huo uamuzi.

Kama ulikuwa na guts za kusafisha hope kufungua vitu kadhaa sio tabu kwako.
 
Nilitumia fom hii hapo chini. Nitafatilia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mashine yangu laptop ilizingua keyboard nikapeleka kwa fundi,yaani baada ya kuifungua haiwaki mpka leo,inaonesha taa ya kuwaka,feni inazunguka lakini kioo hakipandishi..ni hp 650

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…