Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nimeongeza tdp hadi 25w kutoka 15w FPS za gta v zimeongezeka kama 5 hivi sema laptop ina 8 gb single ram. Bongo ram ddr4 bei kubwa sana, inabidi niagize AliExpress.
 
Nimeongeza tdp hadi 25w kutoka 15w FPS za gta v zimeongezeka kama 5 hivi sema laptop ina 8 gb single ram. Bongo ram ddr4 bei kubwa sana, inabidi niagize AliExpress.
Vyema mkuu, na hapo unaweza pata fps kadhaa ila confirm kwanza na aina ya hio ddr4.
 
Mkuu kwa laki 9 mashine ipo vyema, ila gpu ni ndogo sana kwa 3d unless unatumia software za quicksync.

Utatumia program gani?
 
Autodesk software mf, AutoCad, Revit
Revit itapiga kazi bila wasiwasi, na Autocad pia sema ukifanya kazi kubwa Hd620 itakuwa slow.

mkuu hio ram itakuzingua, Autocad inataka minimum 8gb utabidi ujipinde uongeze,
 
Chief laptop yangu Ina 5500 intel HD pamoja na radeon r7 m260x 1gb gddr5 ram
Je ipi Ina nguvu?...
Je Nikicheza game ipi inakuwa on?...
Inawezekana Ku enable moja wapo kati ya hizo?
Intel(R) core(TM) i5-5300u CPU 2.30ghz to 2.90 4gb ram
HP...
 
Chief laptop yangu Ina 5500 intel HD pamoja na radeon r7 m260x 1gb gddr5 ram
Je ipi Ina nguvu?.
Je Nikicheza game ipi inakuwa on?.
Inawezekana Ku enable moja wapo kati ya hizo?
Intel(R) core(TM) i5-5300u CPU 2.30ghz to 2.90 4gb ram
HP.
hio r7 ndio ina nguvu zaidi mkuu, na gpu inategemea na game baadhi zinakupa option ya kuchagua na baadhi yanachagua yenyewe gpu yenye nguvu.
 
hio r7 ndio ina nguvu zaidi mkuu, na gpu inategemea na game baadhi zinakupa option ya kuchagua na baadhi yanachagua yenyewe gpu yenye nguvu.
Je Nitaweza kurun gta v.. watch dogs2, pes 18, NFS hot pursuit, cod modern warfare 3...
 
Tofauti yake ni nini? Na hizo nyingine chief.
Bandwidth,

Mfano mzuri tunaoweza kupata ni Nvidia 1030 ambayo ina version mbili.
- moja ya gddr5 yenye bandwidth around 48GB/s
-nyengine ddr4 yenye bandwidth around 16GB/s

Hivyo kupelekea hii ya GDDR5 kuwa na nguvu almost mara mbili hali ya kuwa ni gpu moja tu kila kitu sawa kasoro hizo memory/ram/vram tu.

Unaweza angalia benchmark ya games kwa hio gpu hapa (2015 kushuka)

..Asante sna Kwa ufafanuzi Chief ngoja nisome hiyo link.
 
Chief-Mkwawa

kuna hii mashine mtu anataka niuzia 150k ni HP ya kulala

i3 -3220 @3.30ghz hii,unasemaje kwenye hii bei ni sawa?

unaionaje ktk utendaji kazi? nikiiweka GPU itaweza kazi

za Graphic muda mrefu? nakutegemea wewe boss...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…