chuxxe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 601
- 370
pia naitaji msaada PC ya huyu jamaa angu ikiwaka inaishia hapa ukipress f1 inazima then inalud hapa hapaView attachment 1557931
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni desktop ama laptop hii? Error ya kwanza ni keyboard na ya pili ni feni, ajaribu kuifungua na kuangalia kama akiwasha feni linazunguka, kama halizunguki atafute ufumbuzi kama kuangalia connector yake imechomekwa vizuri au hata kulibadili.pia naitaji msaada PC ya huyu jamaa angu ikiwaka inaishia hapa ukipress f1 inazima then inalud hapa hapaView attachment 1557931View attachment 1557932
ni desktop mkuu feni inazunguka pia keyboard inasoma Ila ajabu inaandika ivyoNi desktop ama laptop hii? Error ya kwanza ni keyboard na ya pili ni feni, ajaribu kuifungua na kuangalia kama akiwasha feni linazunguka, kama halizunguki atafute ufumbuzi kama kuangalia connector yake imechomekwa vizuri au hata kulibadili.
na vipi mkuu kuusu hiii laptop ambayo ukiwasha inawaka then inazima na mda mwingine haiwaki kabisa tumejaribu kuchange ram Ila badoNi desktop ama laptop hii? Error ya kwanza ni keyboard na ya pili ni feni, ajaribu kuifungua na kuangalia kama akiwasha feni linazunguka, kama halizunguki atafute ufumbuzi kama kuangalia connector yake imechomekwa vizuri au hata kulibadili.
Ngumu sana kujua tatizo bila kusema kama kuna mlio inatoa ama maandishi,na vipi mkuu kuusu hiii laptop ambayo ukiwasha inawaka then inazima na mda mwingine haiwaki kabisa tumejaribu kuchange ram Ila bado
dah haitoi mlio wwte wala maaadish kaka zaid inawqka inaishia Toshiba then inazimaNgumu sana kujua tatizo bila kusema kama kuna mlio inatoa ama maandishi,
sina uhakika pengine litakuwa ni tatizo la hardware zaidi, vipi kwenye bios inaingia?dah haitoi mlio wwte wala maaadish kaka zaid inawqka inaishia Toshiba then inazima
mimi desktop yangu waliingia panya wakafanya mambo yao, motherboard ikapoteza uwezo wa kusoma feni, inazunguka tu full speed, nikanunua liquid fulani hivi inaitwa benzen kama sijakosea spelling, kichupa ni buku tu, unasafisha na mswaki motherboard inaweza saidia kama ni uchafu ama majimaji kwenye motherboard kuyatoa.ni desktop mkuu feni inazunguka pia keyboard inasoma Ila ajabu inaandika ivyo
Mimi nina HP yangu display ina tatizo la kukata mwanga na ikiwaka huwa haipandishi wala kushusha mwanga. Tatizo linaweza kuwa wapi!?mimi desktop yangu waliingia panya wakafanya mambo yao, motherboard ikapoteza uwezo wa kusoma feni, inazunguka tu full speed, nikanunua liquid fulani hivi inaitwa benzen kama sijakosea spelling, kichupa ni buku tu, unasafisha na mswaki motherboard inaweza saidia kama ni uchafu ama majimaji kwenye motherboard kuyatoa.
msaada chief kuusu hii graphics card ..AMD redeom c 552 ....2gb vipi hiii kwa games inaweza kuwa vizur na vipi ulaji wa umememimi desktop yangu waliingia panya wakafanya mambo yao, motherboard ikapoteza uwezo wa kusoma feni, inazunguka tu full speed, nikanunua liquid fulani hivi inaitwa benzen kama sijakosea spelling, kichupa ni buku tu, unasafisha na mswaki motherboard inaweza saidia kama ni uchafu ama majimaji kwenye motherboard kuyatoa.
ni low end sana mkuu, bado inatumia ddr3 memory, utacheza games nyingi kwa 720p ama 480p.msaada chief kuusu hii graphics card ..AMD redeom c 552 ....2gb vipi hiii kwa games inaweza kuwa vizur na vipi ulaji wa umeme View attachment 1559479
sawa mkuu kwaiyo nijitahid kutafta DDR5 sio iyo naweza kupata 1080p mkuu?ni low end sana mkuu, bado inatumia ddr3 memory, utacheza games nyingi kwa 720p ama 480p.
umeme ni watts 66, hivyo itakubali machine nyingi tu.
Ddr5 sio kigezo pekee, zipo ddr5 lowend pia kama Gt 710 ambayo pengine ni slow kama hio uliopost.sawa mkuu kwaiyo nijitahid kutafta DDR5 sio iyo naweza kupata 1080p mkuu?
shukran sana mkuu kwa airtel mastercard si naweza kulipia Allie express nikapataDdr5 sio kigezo pekee, zipo ddr5 lowend pia kama Gt 710 ambayo pengine ni slow kama hio uliopost.
Mazingira yetu haya ya kibongo bongo unaweza tafuta gtx 750 ti ama Amd rx 550 hizi zinakula umeme kidogo na upatikanaji wake si Mgumu Aliexpress pia bei ni nafuu used.
mimi natumia voda inafanya, hope Airtel pia itakubali,shukran sana mkuu kwa airtel mastercard si naweza kulipia Allie express nikapata
maana tayal nimeshafaya upgrade ya ram kutoka 4 GB now 8 imebaki proccesor ya core i5 4then ndio inanipa ugumu