Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

pia naitaji msaada PC ya huyu jamaa angu ikiwaka inaishia hapa ukipress f1 inazima then inalud hapa hapaView attachment 1557931
IMG_20200904_080320.jpg
 
pia ana laptop aina ya Toshiba yenyewe ukiwasha inawaka inaandika Toshiba then inazima pia inaweza isiwake kabisa mda mwingine
 
pia naitaji msaada PC ya huyu jamaa angu ikiwaka inaishia hapa ukipress f1 inazima then inalud hapa hapaView attachment 1557931View attachment 1557932
Ni desktop ama laptop hii? Error ya kwanza ni keyboard na ya pili ni feni, ajaribu kuifungua na kuangalia kama akiwasha feni linazunguka, kama halizunguki atafute ufumbuzi kama kuangalia connector yake imechomekwa vizuri au hata kulibadili.
 
ni desktop mkuu feni inazunguka pia keyboard inasoma Ila ajabu inaandika ivyo
 
na vipi mkuu kuusu hiii laptop ambayo ukiwasha inawaka then inazima na mda mwingine haiwaki kabisa tumejaribu kuchange ram Ila bado
 
Ngumu sana kujua tatizo bila kusema kama kuna mlio inatoa ama maandishi,
 
ni desktop mkuu feni inazunguka pia keyboard inasoma Ila ajabu inaandika ivyo
mimi desktop yangu waliingia panya wakafanya mambo yao, motherboard ikapoteza uwezo wa kusoma feni, inazunguka tu full speed, nikanunua liquid fulani hivi inaitwa benzen kama sijakosea spelling, kichupa ni buku tu, unasafisha na mswaki motherboard inaweza saidia kama ni uchafu ama majimaji kwenye motherboard kuyatoa.
 
Mimi nina HP yangu display ina tatizo la kukata mwanga na ikiwaka huwa haipandishi wala kushusha mwanga. Tatizo linaweza kuwa wapi!?
 
Nina laptop yangu(HP) kwanza betri ilishakufa kwahiyo imekuwa kama desktop basi nikiichomeka kwenye socket inajiwasha yenyewe pia inatoa sauti ya kukwazura tatizo ni nini hasa hilo la kujiwasha?
 
mimi desktop yangu waliingia panya wakafanya mambo yao, motherboard ikapoteza uwezo wa kusoma feni, inazunguka tu full speed, nikanunua liquid fulani hivi inaitwa benzen kama sijakosea spelling, kichupa ni buku tu, unasafisha na mswaki motherboard inaweza saidia kama ni uchafu ama majimaji kwenye motherboard kuyatoa.
msaada chief kuusu hii graphics card ..AMD redeom c 552 ....2gb vipi hiii kwa games inaweza kuwa vizur na vipi ulaji wa umeme
IMG-20200905-WA0009.jpg
 
msaada chief kuusu hii graphics card ..AMD redeom c 552 ....2gb vipi hiii kwa games inaweza kuwa vizur na vipi ulaji wa umeme View attachment 1559479
ni low end sana mkuu, bado inatumia ddr3 memory, utacheza games nyingi kwa 720p ama 480p.

umeme ni watts 66, hivyo itakubali machine nyingi tu.
 
sawa mkuu kwaiyo nijitahid kutafta DDR5 sio iyo naweza kupata 1080p mkuu?
 
Ddr5 sio kigezo pekee, zipo ddr5 lowend pia kama Gt 710 ambayo pengine ni slow kama hio uliopost.

Mazingira yetu haya ya kibongo bongo unaweza tafuta gtx 750 ti ama Amd rx 550 hizi zinakula umeme kidogo na upatikanaji wake si Mgumu Aliexpress pia bei ni nafuu used.
 
shukran sana mkuu kwa airtel mastercard si naweza kulipia Allie express nikapata
maana tayal nimeshafaya upgrade ya ram kutoka 4 GB now 8 imebaki proccesor ya core i5 4then ndio inanipa ugumu
 
mimi natumia voda inafanya, hope Airtel pia itakubali,
 
Back
Top Bottom