Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

na core Intel (R) (TM) i3CPU M330 @ 2.13 GHz vip hii kwenye magame inaweza kuhimili?
 
Habari wakuu, hivi kuna maduka dar yanayouza compyuta za processor amd pamoja na graphics card zake?
 
Habari wakuu, hivi kuna maduka dar yanayouza compyuta za processor amd pamoja na graphics card zake?
sijaona maduka hayo nimeona tu intel, graphics zipo za amd na nvidia sema zote vimeo graphics za kijinga kama hd5450 zinauzwa bei ghali sana kuanzia 80,000 hadi 450,000.

unataka processor za amd kwa ajili ya nini?
 
hii ina

Intel Core i3 2310M / 2.1 GHz

-kwanza ni intel i3 ambayo siombaya

-pili namba yake imeanziwa na elfu mbili yaani 2310 inamaana ipo second generation pia sio mbaya

-herufi ya mbele ni M ina maana ni mobile hivyo utapata perfomance kubwa kushinda za U na Y
-clock speed ni 2.1ghz ambayo nayo kwa laptop ni nzuri tu.

hata single core perfomance ya hio processor ni nzuri

overall ni laptop nzuri kwa matumizi ya kawaida huwezi kuwa slow
Mkuu chief nataka nichukue hii vipi kwenye upande wa games?
 
Dah mkuu mi nauliza hp elitebook 8460p yaweza kuwa na processor ya aina gani maana kuna jamaa alinibadilishia yaani pc ukiwasha inalod window halafu inakuwa nyeusi tu angalia
f0ed893a1901a9b46168a4ca1629d509.jpg
5f1b8b186818c9b3
 
Mkuu Chief-Mkwawa i3-4005U ipoje?

hizo u series ni processor zinazotumia umeme kidogo, laptop zake hazipati moto sana na zinakaa sana na chaji.

perfomance yake haiwi kubwa sana ila hio ni haswell gpu yake ni kubwa kushinda generation zilizopita.

itategemea na matumizi, kama huna matumizi mengi ni cpu nzuri kwa matumizi ya kawaida
 
Dah mkuu mi nauliza hp elitebook 8460p yaweza kuwa na processor ya aina gani maana kuna jamaa alinibadilishia yaani pc ukiwasha inalod window halafu inakuwa nyeusi tu angalia
f0ed893a1901a9b46168a4ca1629d509.jpg
5f1b8b186818c9b3
jaribu kuconect monitor ya nje kwanza uone kama itaonesha. kama itaonesha display yako ya laptop ni mbovu, kama haioneshi still jaribu kueka upya windows
 
jaribu kuconect monitor ya nje kwanza uone kama itaonesha. kama itaonesha display yako ya laptop ni mbovu, kama haioneshi still jaribu kueka upya windows
Yani nimeweka windo 8.1pro ambaya ni activated lakini ukiwasha inawaka sasa uki tumia kwa muda mara inabadilka gafla nakuwa nyeusi mpaka uizime tena alafu uwashe
 
Yani nimeweka windo 8.1pro ambaya ni activated lakini ukiwasha inawaka sasa uki tumia kwa muda mara inabadilka gafla nakuwa nyeusi mpaka uizime tena alafu uwashe

driver za graphics umeweka?
 
Back
Top Bottom