ooooh...basi asate sana mkuu na vipi upokeaji wake mzigo ukifika kuna vituo maalum vya Allie express hapa bongomimi natumia voda inafanya, hope Airtel pia itakubali,
Unapokea posta, mara nyingi wanakupigia simu ukachukue mzigo, hakikisha tu kwenye adress unaandika kila kitu sawa, namba ya simu, sanduku la barua, mji uliopo etcooooh...basi asate sana mkuu na vipi upokeaji wake mzigo ukifika kuna vituo maalum vya Allie express hapa bongo
saw mkuu Ila samahan kidogo nimejaribu kupitia Uzi wa jinsi ya kufanya manunuzi online nimeona wengi wakilalamika kuusu kuibiwa vitu vyao posta ni vitu gani muhim unaweza kuzingatia ukiwa unataka Fanya manunuzi kwa Allie express kwa mfano hii hapaUnapokea posta, mara nyingi wanakupigia simu ukachukue mzigo, hakikisha tu kwenye adress unaandika kila kitu sawa, namba ya simu, sanduku la barua, mji uliopo etc
Kwanza kabla hujanunua gpu double check ukubwa wa case ya computer, urefu wake, upana etcsaw mkuu Ila samahan kidogo nimejaribu kupitia Uzi wa jinsi ya kufanya manunuzi online nimeona wengi wakilalamika kuusu kuibiwa vitu vyao posta ni vitu gani muhim unaweza kuzingatia ukiwa unataka Fanya manunuzi kwa Allie express kwa mfano hii hapaView attachment 1561802
ooooh Ila kama ile ya kwanza nilio ionyesha kwangu inafunga mkuuKwanza kabla hujanunua gpu double check ukubwa wa case ya computer, urefu wake, upana etc
Kuhusu posta vitu vinaweza potea ndio sio 100% safe, ila muda mwingi vinafika hasa ukiweka details zote sawa.
Ile ni pana, ukiwa na case ambayo pcie slot inakaribiana na powersupply inaweza isifit. Mara nyingi ina occupy slot mbili.ooooh Ila kama ile ya kwanza nilio ionyesha kwangu inafunga mkuu
Hii pc ina nguvu ya kutosha kurun bluestacks ama emulator nyengine za AndroidBroo Chief Mkwawa nianze kwa heshima zote kwako Kwa Juhudi na bidii yako tunayo faidika nayo Sisi Kwa Elimu nzuri yako.
Shida yangu Nina hii Comp ina sifa hizi lakini Kwa sasa nimejikuta na mtazamo Sana wa kutafuta Tablets kubwa yenye sifa ya Android, kusudi niweze kupata App nyingi kutoka Play store free na nyingine nyingi nzuri.
Napia nlijaribu kutumia Blue stack Comp ikawa slow na pia Graphics za ile android zilikuwa mbayaa na pia ku oparate ikawa shida baadhi ya App.
Je... Ni sawa sababu zangu kutokana na hii laptop kakangu....?
Pamoja hivyo naweza pia kutumia Software ngapi Kwa uwezo wa hiii PC Kwakuwa mi mtu wa Office na Adobe Kaka....?View attachment 1562458View attachment 1562459
sawa mkuu me case yangu ni mfano wa hiiiIle ni pana, ukiwa na case ambayo pcie slot inakaribiana na powersupply inaweza isifit. Mara nyingi ina occupy slot mbili.
hizi kubwa kuna uwezekano mkubwa wa kuingia gpu yoyote ile,sawa mkuu me case yangu ni mfano wa hiiiView attachment 1562581
oooh kwaiyo hata ile ya mwanzo itafunga mkuu maana hata bei kidg zile zinalizishahizi kubwa kuna uwezekano mkubwa wa kuingia gpu yoyote ile,
Siwezi kukupa jibu 100% mpaka nione ndani ipojeoooh kwaiyo hata ile ya mwanzo itafunga mkuu maana hata bei kidg zile zinalizisha
basi sawa nikilud ntakupa jibu kiongozi wanguSiwezi kukupa jibu 100% mpaka nione ndani ipoje
Ama unipe full model ya pc nicheki online
mkuu nimeludi tena model yake ni dell vostro,3902Siwezi kukupa jibu 100% mpaka nione ndani ipoje
Ama unipe full model ya pc nicheki online
na nilikuwa nataka kujua kidgo kuusu hii graphics card gtx 1050 4gb ddr5 nimeona ni kubwa alafu bei cheep so kuna chochote hapo mkuuSiwezi kukupa jibu 100% mpaka nione ndani ipoje
Ama unipe full model ya pc nicheki online
Pengine feki, reviews umeangalia? Watu wengi wamenunua?na nilikuwa nataka kujua kidgo kuusu hii graphics card gtx 1050 4gb ddr5 nimeona ni kubwa alafu bei cheep so kuna chochote hapo mkuu View attachment 1564864