Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nenda kadownload to os ya android ambayo ipo compatible na computer moja kwa moja gb 3.9
Unaweza kuweka zote windows na hii. Wakati wa kuwasha ndio utakuwa unachaggua uingie wapi.

Phoenix OS x86 Free Download
 
sasa mkuu akikuagizishia si kuna chochote mkuu cha posho hapo
 
Au kwanini asiiweke tu na os ya android moja kwa moja. Awe anaamua tu kuboot kupitia windows au android. Si inawezekana siku hizi pc kuweka os ya android.
Wakuu wangu je...?

Ni vipi Kwa kuisha Kwa bando Kwa speed kubwaa hasa ukitumia router WiFi device uka tumia wasap web ulio scan simu na Pc yako

Ile ukichart wasp au Telegram dk chachee tuu bando loteeee kwishaaa tena GB na ma Gb.

Je kuna uhusiano gani kwenye hili wakuu wangu
 
Mkuu kwa hyo bei ni halali kweli????View attachment 1567822
Ndio ni halali kama hio laptop ni mpya, kama ni used bei ghali.

Sema kwa uzoefu wangu kuna utofauti mdogo sana baina ya i5 na i7 kwenye laptop. Hapo unalipa premium ya ram, ssd kubwa, na hio i7 gen ya kizamani.

Kama upo serious na una milioni 5 subiria hizi laptop mpya za tiger lake, ni nzuri kushinda kitu chochote sokoni kwa sasa unapata laptop bei rahisi ikiwa na perfomance kubwa na graphics za maana bila kutumia dedicated gpu.

Otherwise nunua i5 na Gtx 1050 kwa around 1.5m kisha upgrade mwenyewe ssd na ram kwa bei rahisi.
 
Kwa nchi za wenzetu wifi ni unlimited, hivyo simu ama computer iki conect na wifi kama kuna updates za apps ama os zinatumika ku upgrade automatic bila kukuuliza, vitu hivi havifanyiki ukiwa unatumia mobile data.

Kwetu inakuwa shida maana wifi zetu ni za kuunga vifurushi, os ama apps ziki update gb za kutosha zinapotea.

Solution ni kuzima hizo updates ama kuset metered connection kwenye pc yako.
 
Ivi mkuu Una office yako mahali nijee Kwa msaada zaidi.

Maana dah natamani Sanaa nikufaham
 
Hizo ni update za windows mzee baba.
 
Mil5 hapati pc yenye rtx 2080ti na 9th gen kweli?

Maana kwa uwezo wa hiyo pc naona bei zake hazizidi mil 3 - 3.7.
 
Fafanua kidogo hapo tiger lake mkuu.
 
Mil5 hapati pc yenye rtx 2080ti na 9th gen kweli?

Maana kwa uwezo wa hiyo pc naona bei zake hazizidi mil 3 - 3.7.
hapati, 2080ti yenyewe ni around 3m, ukijumlisha na cpu inakaribia hio 5m, hapo hujaanza ram, mobo, psu etc.
 
Fafanua kidogo hapo tiger lake mkuu.
hawa intel kwa muda mrefu gpu zao zilikuwa ni dhaifu compare na nvidia ama Radeon (Amd), hivyo na wao wakawa wanajipanga kucompete kwenye upande wa graphics, walichukua hadi ma injinia toka Amd, na zao la kwanza la gpu zao linaitwa xe gpu zitakazokuja na gen ya 11 ya cpu zao aka tiger lake.

pia upande wa cpu muda mrefu waliganda kwenye 14mm wenzao kwenye simu ama hata pc kama Amd wamefika 7nm na sasa wanaenda 5nm, hii tiger lake nayo itakuja na manufacturing process ya kisasa 10nm (equivalent ya 7nm ya wengine) hivyo nguvu ya hii cpu ni kubwa na ulaji wa umeme ni mdogo.

so laptop za hii gen ya 11 kwenye package moja unapata cpu na gpu nzuri bila kununua laptop ya bei ghali yenye nvidia.

zimeshazinduliwa ila bidhaa bado kuingia sokoni, zimezinduliwa mwezi huu.
 
Ohoo so tutegemee ushindani na kushuka bei kwa nvidia na kwa AMD. Hata hivyo amd device zao cheap sana.
Basi tu vile bongo hazishushwi sana na kuwa nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…