Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna MTU Wang wa karbu hapa anataka kuniuzia processor ya core i3 4160 kwa ajili ya mashine yangu VP? Itapiga kazi ya gaming hii nikiweka na gtx 750!1.5mbps ndogo sana, unaweza browse hapa na pale ila kudownload mafile makubwa itakuwa slow.
Ni eneo lako mkuu itakua.
Tafuta i7, games nyingi zipo optimized kwenye core 4 na thread 8, sababu console kama ps4 na xbox one zina core kama hivyo.Mkuu kuna MTU Wang wa karbu hapa anataka kuniuzia processor ya core i3 4160 kwa ajili ya mashine yangu VP? Itapiga kazi ya gaming hii nikiweka na gtx 750!
Mkuu upatikanaji wa hiyo core i7 nimejaribu ni mgumu sana yhn naishia core i5 ndio zipo nyingi za 4then ila i7 4then ni mgumu sana cjajua lbd kma kuna sehem ingne ila pale machinga nimetafta sanaTafuta i7, games nyingi zipo optimized kwenye core 4 na thread 8, sababu console kama ps4 na xbox one zina core kama hivyo.
Kwa kuanzia sio mbaya ila usitegemee kurun games zote.
Nikifika home nitakuangalizia namba ya muuzaji alieniuzia ya kwangu.Mkuu upatikanaji wa hiyo core i7 nimejaribu ni mgumu sana yhn naishia core i5 ndio zipo nyingi za 4then ila i7 4then ni mgumu sana cjajua lbd kma kuna sehem ingne ila pale machinga nimetafta sana
Shukrani sana mkuuNikifika home nitakuangalizia namba ya muuzaji alieniuzia ya kwangu.
Pia vp kwa upande wa matumizi?Wakuu habari? Kunamtu anaiuza hiyo hp
Vp kwa hiyo ni generation ya ngap? View attachment 1593577View attachment 1593578
Hii ni rebranded Atom cpu, unless huna matumizi kabisa nakushauri usiinunue,Wakuu habari? Kunamtu anaiuza hiyo hp
Vp kwa hiyo ni generation ya ngap? View attachment 1593577View attachment 1593578
Mkuu kuna mambo mengi sana hapo ila inawezekana kabisa core i3 ikawa nzuri kushinda i5.Nakushukuru Sana chief kwa ushauri naipiga chini naendelea kuisaka nyingine
Pia naswali linguine hv
Hv laptop core 5 ram 3 hard disick 500 generation ya 4
Na labda hp core 3 ram 4 lkn generation ya 5
Je generation ya 3 core 5 itaweza kuizidi nguvu generation ya 5 core 3 kwasababu ya generations ya 5 kwasababu ni latest?
Duuuuh Mwamba!Mkuu kuna mambo mengi sana hapo ila inawezekana kabisa core i3 ikawa nzuri kushinda i5.
Kwa haraka haraka naweza kuzigawanya Cpu kwenye makundi haya
-Kundi la kwanza
Generation ya kwanza
Kundi la Pili
-Gen ya 2, 3, 4, 5, 6 na 7
Kundi la 3
Gen ya 8, 9 na baadhi 10
Kundi la 4
Gen ya 11 na baadhi 10
Gen ya pili ilileta mapinduzi makubwa sana ya Cpu over gen ya kwanza, hivyo ni kawaida kwa i3 gen ya 2 kuwa na nguvu kushinda i5 gen ya kwanza.
Sema kuanzia gen ya 2 mpaka ya 7 cpu zilikuwa zinaongezeka nguvu kidogo sana, utofauti wa gen ya 7 na ya pili ni mdogo sana,
Gen ya 8 ilivyotoka waka double core, hivyo ni jambo la kawaida kukuta i3 kali gen ya 8 kushinda waliotangulia.
Kwenye gen ya 10 (ice lake) na 11 (tiger lake) kuna improvement kubwa sana hasa upande wa Gpu na zipo hadi i3 zenye thread 8, hivyo i3 kama hii inapita nguvu cpu zote za i5/i7 generation za zamani.
Update
Hapo kwenye gen ya 4 na ya 5 kuna jambo muhimu pia, gen ya kwanza hadi ya 4 zenyewe mainstream cpu zilikuwa zinatumia umeme watts 35 kuanzia gen ya 5 kupanda wakapunguza ulaji umeme hadi 15w, hivyo gen ya 4 ina nguvu kuliko ya 5,
Celeron gen ya 8 ni dual core bado, hivyo i5 gen ya 4 inakuwa nzuri zaidi.Ipi ipo faster zaidi kati ya i5 gen 4 na intel celeron gen 8??
Usafirishaji data, hdd ni Around mB 20 mpaka 40 hivi kwa sekunde wakati ssd inaenda Mamia ya MB mpaka Gb kwa sekunde.Nini tofauti ya SSD na HDD katika performance
Nashukuru sana kwa majibu mujarabu mkuu .Usafirishaji data, hdd ni Around mB 20 mpaka 40 hivi kwa sekunde wakati ssd inaenda Mamia ya MB mpaka Gb kwa sekunde.
Chukua mfano unawasha computer, kuna GB kadhaa za windows inabidi computer izisome, lakini Hdd ipo slow kupeleka windows mahala husika inapeleka mb kadhaa kila sekunde hivyo computer inachukua muda kuwaka sababu inachukua muda kusoma windows.
Kwa ssd unakuta windows sekunde 6 tu inawaka sababu inasafirisha data nyingi kwa sekunde moja na computer inasoma haraka windows na kuwaka upesi.