Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Pia changamoto mtu wa kumuagizia km unavyojua vitu vyakuagiziana hv ni changamoto
 
Huku ukiulizia gen ya 4 ni ni 500k hadi 650 huko

Hiyo ndy changamoto na ninauhitaji sana na hiyo kitu maranyingi uwanatumia ushauri wako sana
 
Msaada desktop top yangu inawaka ila hai display hata ukichomoa ram haipigi alam inawaka tu msaada plz
 
1.5mbps ndogo sana, unaweza browse hapa na pale ila kudownload mafile makubwa itakuwa slow.

Ni eneo lako mkuu itakua.
Mkuu kuna MTU Wang wa karbu hapa anataka kuniuzia processor ya core i3 4160 kwa ajili ya mashine yangu VP? Itapiga kazi ya gaming hii nikiweka na gtx 750!
 
Tafuta i7, games nyingi zipo optimized kwenye core 4 na thread 8, sababu console kama ps4 na xbox one zina core kama hivyo.

Kwa kuanzia sio mbaya ila usitegemee kurun games zote.
 
Mkuu upatikanaji wa hiyo core i7 nimejaribu ni mgumu sana yhn naishia core i5 ndio zipo nyingi za 4then ila i7 4then ni mgumu sana cjajua lbd kma kuna sehem ingne ila pale machinga nimetafta sana
 
Nikifika home nitakuangalizia namba ya muuzaji alieniuzia ya kwangu.
 
Wakuu habari? Kunamtu anaiuza hiyo hp

Vp kwa hiyo ni generation ya ngap? View attachment 1593577
IMG-20201008-WA0005.jpg
 
Wakuu habari? Kunamtu anaiuza hiyo hp

Vp kwa hiyo ni generation ya ngap? View attachment 1593577View attachment 1593578
Hii ni rebranded Atom cpu, unless huna matumizi kabisa nakushauri usiinunue,

hizi cpu zinahitaji uzi wake separate maana wakati naandika huu celeron na pentium zilikuwa part of core series ila siku hizi kuna pentium gold ambazo ni part ya core series na pentium/celeron silver ambazo ni za Atom series kama hio uliopost.

Zenyewe hizi zinakaa sana na chaji na zinakula umeme kidogo sana sema perfoamce nayo ni mbovu vile vile, zinafaa matumizi mepesi sana kama kuangalia movies na kusomea labda.
 
Nakushukuru Sana chief kwa ushauri naipiga chini naendelea kuisaka nyingine

Pia naswali linguine hv

Hv laptop core 5 ram 3 hard disick 500 generation ya 4

Na labda hp core 3 ram 4 lkn generation ya 5

Je generation ya 3 core 5 itaweza kuizidi nguvu generation ya 5 core 3 kwasababu ya generations ya 5 kwasababu ni latest?
 
Mkuu kuna mambo mengi sana hapo ila inawezekana kabisa core i3 ikawa nzuri kushinda i5.

Kwa haraka haraka naweza kuzigawanya Cpu kwenye makundi haya

-Kundi la kwanza
Generation ya kwanza

Kundi la Pili
-Gen ya 2, 3, 4, 5, 6 na 7

Kundi la 3
Gen ya 8, 9 na baadhi 10

Kundi la 4
Gen ya 11 na baadhi 10

Gen ya pili ilileta mapinduzi makubwa sana ya Cpu over gen ya kwanza, hivyo ni kawaida kwa i3 gen ya 2 kuwa na nguvu kushinda i5 gen ya kwanza.

Sema kuanzia gen ya 2 mpaka ya 7 cpu zilikuwa zinaongezeka nguvu kidogo sana, utofauti wa gen ya 7 na ya pili ni mdogo sana,

Gen ya 8 ilivyotoka waka double core, hivyo ni jambo la kawaida kukuta i3 kali gen ya 8 kushinda waliotangulia.

Kwenye gen ya 10 (ice lake) na 11 (tiger lake) kuna improvement kubwa sana hasa upande wa Gpu na zipo hadi i3 zenye thread 8, hivyo i3 kama hii inapita nguvu cpu zote za i5/i7 generation za zamani.

Update
Hapo kwenye gen ya 4 na ya 5 kuna jambo muhimu pia, gen ya kwanza hadi ya 4 zenyewe mainstream cpu zilikuwa zinatumia umeme watts 35 kuanzia gen ya 5 kupanda wakapunguza ulaji umeme hadi 15w, hivyo gen ya 4 ina nguvu kuliko ya 5,
 
Duuuuh Mwamba!

Nimekupata boss

Ubarikiwe kwa kuendelea kuniongezea madini kichwani
 
Ipi ipo faster zaidi kati ya i5 gen 4 na intel celeron gen 8??
Celeron gen ya 8 ni dual core bado, hivyo i5 gen ya 4 inakuwa nzuri zaidi.

Sema kama ni desktop na una plan ya kuja kui upgrade baadae celeron gen ya 8 ina make sense zaidi maana utakuja kuweka i3/i5/i7 gen ya 8 mbele ya safari.
 
Nini tofauti ya SSD na HDD katika performance
Usafirishaji data, hdd ni Around mB 20 mpaka 40 hivi kwa sekunde wakati ssd inaenda Mamia ya MB mpaka Gb kwa sekunde.

Chukua mfano unawasha computer, kuna GB kadhaa za windows inabidi computer izisome, lakini Hdd ipo slow kupeleka windows mahala husika inapeleka mb kadhaa kila sekunde hivyo computer inachukua muda kuwaka sababu inachukua muda kusoma windows.

Kwa ssd unakuta windows sekunde 6 tu inawaka sababu inasafirisha data nyingi kwa sekunde moja na computer inasoma haraka windows na kuwaka upesi.
 
Nashukuru sana kwa majibu mujarabu mkuu .

Nilikuwa nataka kuchukua pc mpya hivi soon hapa umenisaidia sana

Shukrani sana
 
Nina swali lingine

Je mfano nimenunua PC yenye HDD inawezekana nikaitoa hio HDD nikaweka SSD bila kuleta madhara yoyote

Au HDD kwa HDD na SSD kwa SSD tu ?
 
Back
Top Bottom