Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Je kunatofauti gani Kati ya processer ya intel generation ya 8 na core ¡3 generation ya 4

Kuna hp inauzwa hapa ni intel generation ya 8
Sijui itanifaa nimpya imetumika mwaka mmoja
 
Hizi generation za 10 kwa core i3 zinapatikana bongo??
Ndio mkuu zipo nyingi sema gen ya 10 tofauti na gen nyengine zipo aina mbili
-ice lake
-comet lake

Ice lake yenyewe inaishiwa na G kwa mbele kama G1, G4, G7 etc mfano i3 1005G1

Comet lake inaishiwa na U

Nzuri ni hizo zinazoishiwa na G. Zina graphics nzuri na zinacheza almost games zote.
 
Nashukulu kaka. ila nafikilia kuunda desktop computer itakuwa poa zaidi au?
Desktop ni muhimu sana mkuu kama umeshajitosheleza. Sababu itakuwa mama wa vifaa vyako vyote kama TV, simu, Tablet, gaming console etc. Sio idea mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…