Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #101
pia kama cpu ni ya zamani inatumia sana umeme mwingi ndio mana psu inapata motondo mana power supply yangu inapata moto sana kwa sababu ina.perfomance kubwaa yaani ukiishila tyu unaungua asyee
i7 ipi? angalia jina lake kwenye my computer then propertiesmkuu core i7 3.3ghz itacheza game nzito nzito
intel (R) core (TM) i7 CPU L 640i7 ipi? angalia jina lake kwenye my computer then properties
laptop sio? ni cpu average sio mbaya sana wala nzuri sana itahandle kiasi fulani games ila utahitaji gpu nzuri pia kurun hizo gamesintel (R) core (TM) i7 CPU L 640
mkuu me natamani sana hii pc nibadilishe vram yake je inawezekana ??intel (R) core (TM) i7 CPU L 640
ndo ni laptoplaptop sio? ni cpu average sio mbaya sana wala nzuri sana itahandle kiasi fulani games ila utahitaji gpu nzuri pia kurun hizo games
hapana haiwezi himili games za kisasana core Intel (R) (TM) i3CPU M330 @ 2.13 GHz vip hii kwenye magame inaweza kuhimili?
sijaona maduka hayo nimeona tu intel, graphics zipo za amd na nvidia sema zote vimeo graphics za kijinga kama hd5450 zinauzwa bei ghali sana kuanzia 80,000 hadi 450,000.Habari wakuu, hivi kuna maduka dar yanayouza compyuta za processor amd pamoja na graphics card zake?
Mkuu chief nataka nichukue hii vipi kwenye upande wa games?hii ina
Intel Core i3 2310M / 2.1 GHz
-kwanza ni intel i3 ambayo siombaya
-pili namba yake imeanziwa na elfu mbili yaani 2310 inamaana ipo second generation pia sio mbaya
-herufi ya mbele ni M ina maana ni mobile hivyo utapata perfomance kubwa kushinda za U na Y
-clock speed ni 2.1ghz ambayo nayo kwa laptop ni nzuri tu.
hata single core perfomance ya hio processor ni nzuri
overall ni laptop nzuri kwa matumizi ya kawaida huwezi kuwa slow
generation ya kwanza mkuuMkuu core i3 330M 2.13 GHZ ni generation ya ngapi??
Mkuu chief nataka nichukue hii vipi kwenye upande wa games?
Mkuu Chief-Mkwawa i3-4005U ipoje?
jaribu kuconect monitor ya nje kwanza uone kama itaonesha. kama itaonesha display yako ya laptop ni mbovu, kama haioneshi still jaribu kueka upya windowsDah mkuu mi nauliza hp elitebook 8460p yaweza kuwa na processor ya aina gani maana kuna jamaa alinibadilishia yaani pc ukiwasha inalod window halafu inakuwa nyeusi tu angalia
Yani nimeweka windo 8.1pro ambaya ni activated lakini ukiwasha inawaka sasa uki tumia kwa muda mara inabadilka gafla nakuwa nyeusi mpaka uizime tena alafu uwashejaribu kuconect monitor ya nje kwanza uone kama itaonesha. kama itaonesha display yako ya laptop ni mbovu, kama haioneshi still jaribu kueka upya windows
Yani nimeweka windo 8.1pro ambaya ni activated lakini ukiwasha inawaka sasa uki tumia kwa muda mara inabadilka gafla nakuwa nyeusi mpaka uizime tena alafu uwashe