Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Je kwenye Pc yenye i5 ya 5th? Maana ana hp ya pro book 440. yaanu kigezo changu cha kwanza ni GTA V ku run smoothly .
4th Gen ya HQ ina graphics kali kushinda i5 5th.

Unless uruke hadi 6th gen.
 
Ko i5 ya 6th yenye U mwisho itakuwa kali kushinda hiyo i7 4th HQ? Akifika 500k nichukue hiyo au niendelee kutafuta nyingine na je i5 ya 6th pia proposed price ni kiasi gani?
 
I5 ya 6th ndio around 600k used.

Gpu wise 6th gen kupanda zipo vizuri kuliko 4th Gen.

Ila cpu hio i7 ipo vizuri kushinda gen 7 kushuka (mainstream cpu)

Angalia hapa HD 4600 gta V kwa HD 720p fps 30 inafika ila sometime ina drop kidogo

Ukiweka 1024x600 hapo ina boost perfomance pengine ikazidi 40fps.
 
Hii setup ni 4th au kwa 6th
 
Alafu pia kuna kitu nimehisi kama ni Kipengele hivi

Au ni kawaida?
IMG-20210116-WA0045.jpg
 
Hamna nimeona ile karatasi inayoziba screw haipo it means ishafunguliwa hii sasa si itakuwa kipengele au mtumba zote ndiyo huwa hivyo?
Huyo mtu humfahamu anayekuuzia?

Ni laptop ya 2013 hio, Ngumu kuwa haijafunguliwa.

Kwa laptop za watts kubwa si issue sana kama imefunguliwa maana vitu vyake vingi vinakuwa spaced kwa ajili ya cooling Hivyo kuwa rahisi ku repair.

Tatizo ni kama amechomoa kitu, ama ilikuwa na Tatizo sugu, hapo ndio Ngumu kujua.

Cha muhimu akupe warranty kwenye maandishi.
 
Kaka kwa nini HD ya 4th generation iwe kubwa(HD 4600) kuliko ya 6th generation(HD 520)?
Nimeongea gen ya 4 ni bora kuliko ya 5 na sio 6.

Sababu ni kwamba gen mpaka ya 4 mainstream laptop zilikuwa zinakuja na cpu za 35 watts, kuanzia gen ya 5 ndio 15w cpu zikawa mainstream.

Hivyo 15w cpu ya kwanza (gen ya 5) japo ilikuwa inatumia umeme mdogo ilishindwa kutoa perfomance kama ya gen ya 4.
 
Huyo mtu humfahamu anayekuuzia?

Ni laptop ya 2013 hio, Ngumu kuwa haijafunguliwa.

Kwa laptop za watts kubwa si issue sana kama imefunguliwa maana vitu vyake vingi vinakuwa spaced kwa ajili ya cooling Hivyo kuwa rahisi ku repair.

Tatizo ni kama amechomoa kitu, ama ilikuwa na Tatizo sugu, hapo ndio Ngumu kujua.

Cha muhimu akupe warranty kwenye maandishi.
Simfahamu ila anadai anaduka lake hvyo hata nikitaka kununua inabdi niende dukani hofu yangu tu isiwe na kipengele maana hizi warrant si huwa zinakuwa na 3 months wanawekaga hii je itasaidia nini?
 
hata 3 month inatosha kujua kama kuna tatizo la kizembe zembe, ukiipata unaijaza fasta unafanya shughuli zako zote kutest, ikiwa fresh si rahisi kwa baadae kuzingua.
 
Model HP xw4600 workstation
processor Intel(R) Core (TM)2 Duo CPU E8600 @3GHz 3GHz
Installed memory (Ram) 4 GB
NVIDIA Quadro Fx 1800

Habari wakuu samahani naomba mnisaidie kwa specification hizo naweza kucheza gemu za kisasa au nipo katika tabaka gani?
 
hii ni low end sana mkuu, utacheza tu games nyepesi za kizamani, pes13, fifa 14, gta zile za kina san Andreas etc
 
anhaa sasa unanishauli nikaongeze kipi katuka computer yangu ili niweze kwenda sambamba na ulimwengu
 
hii ni low end sana mkuu, utacheza tu games nyepesi za kizamani, pes13, fifa 14, gta zile za kina san Andreas etc
Hivi kaka kwa mfano nina PC yenye CPU nzuri lakini ina GPU mbaya na ambayo haina nguvu(mfano core i7-4700HQ) lakini matumizi yangu ni ya kawaida kabisa kama vile kutype,kusikiliza mziki,kuangalia movie,kubrowse online e.t.c(yaani sina matumizi makubwa kama vile gaming,video rendering,etc).Je nitapata hasara gani/changamoto gani kwa kuwa na aina hiyo ya GPU?
 
changamoto labda ni ukaaji chaji kuwa mdogo, ila kwa matumizi yako itakuwa kawaida tu.

na ukiwa na matumizi madogo unahitaji ssd zaidi kuliko cpu/gpu kubwa.
 
Hivi kaka PC za generation ya nyuma kama vile core i7-4700HQ naweza kupachika ssd storage ndani?
 
Back
Top Bottom