Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,441
Ndio hata pc za core 2 duo unaweza.Hivi kaka PC za generation ya nyuma kama vile core i7-4700HQ ninaweza kupachika ssd storage ndani?
Shukrani mkuu!Ndio hata pc za core 2 duo unaweza.
Kuna ssd za sata ambazo zinaingia pc yoyote ile inayoingia hdd za sata,
Na zipo hdd za pcie, msata, m2, mini pcie na connector nyengine mpya, hizi ni mpaka uwe na pc ya kisasa.
Si rahisi, sidhani Kama miaka 10 iliopita kuna pc zisizo za sata.Shukrani mkuu!
Sasa itakuwaje kama PC mfano ya core i7-4700HQ ina HDD ambayo siyo ya sata?
Shukrani sana!Si rahisi, sidhani Kama miaka 10 iliopita kuna pc zisizo za sata.
Na kama ina ide zipo adapter.
Hii ni desktop MA laptop?Shukrani sana!
Sasa kaka mimi sina haja wala sihitaji kabisa GPU kubwa,nataka nilipie CPU peke yake pamoja na wide screen display.Yaani nataka vitu viwili tu:
1.Processor kubwa pamoja na clock speed kubwa.Nataka processor kuanzia quad core au hata six core
2.Display ya inch kubwa kuanzia inch 17 na kuendelea.
a)Sasa ninaweza kukwepa kulipia GPU kubwa na kulipia processor kubwa pamoja na display kubwa pekee yake?
b)Naweza kulipia processor kubwa bila ya kurudi kwenye generation za nyuma sana kama vile PC za core i7-4700HQ?
c)Ni PC gani nikinunua naweza kupata advantage ya kukwepa kulipia GPU kubwa kwa sababu mimi sina matumizi nayo?(Mimi nina matumizi na processor kubwa pamoja na screen kubwa)
Samahani sana mkuu ni laptop!Hii ni desktop MA laptop?
Laptop za inch 17 ku endelea ni Chache sana,Samahani sana mkuu ni laptop!
Shukrani mkuuLaptop za inch 17 ku endelea ni Chache sana,
Kuhusu processor kila gen kuanzia ya pili mpaka ya 11 ipo hio H series (zamani iliitwa MQ) mfano gen ya 6 ipo 6700HQ, gen ya 7 ipo 7700HQ etc. Tatizo ni kwamba hizi ni ngumu kuzipata, sio mainstream.
Kwa mainstream cpu ambazo ni quad-core ni kuanzia gen ya 8 kupanda, ambazo bei zake ni ndefu kidogo.
Na sio kila quad-core ina nguvu, zipo za celeron na pentium ambazo hazina nguvu sana.
Pia kuanzia gen ya 7 hizi H series wanakulazimisha uwe na dedicated Gpu, Hivyo inakuwa Ngumu kuzipata kwa bei nafuu. Hivyo option yako kubwa ni gen ya 4, 5 na 6.
Kama unajiweza mkuu reasonable option ni hizo i5 za 8th gen.
kaka hizi za i5 8th generation zipo za quad core zenye clock speed nzuri ambazo herufi zake za mwisho ni U?Laptop za inch 17 ku endelea ni Chache sana,
Kuhusu processor kila gen kuanzia ya pili mpaka ya 11 ipo hio H series (zamani iliitwa MQ) mfano gen ya 6 ipo 6700HQ, gen ya 7 ipo 7700HQ etc. Tatizo ni kwamba hizi ni ngumu kuzipata, sio mainstream.
Kwa mainstream cpu ambazo ni quad-core ni kuanzia gen ya 8 kupanda, ambazo bei zake ni ndefu kidogo.
Na sio kila quad-core ina nguvu, zipo za celeron na pentium ambazo hazina nguvu sana.
Pia kuanzia gen ya 7 hizi H series wanakulazimisha uwe na dedicated Gpu, Hivyo inakuwa Ngumu kuzipata kwa bei nafuu. Hivyo option yako kubwa ni gen ya 4, 5 na 6.
Kama unajiweza mkuu reasonable option ni hizo i5 za 8th gen.
Ndio, base clock inakuwa ndogo ila zinakuwa na turbo kubwa, kwa laptop ya inch 17 ama 15 inakuwa na cooling nzuri kiasi kwamba inaweza maintain turbo wakati wote.kaka hizi za i5 8th generation zipo za quad core zenye clock speed nzuri ambazo herufi zake za mwisho ni U?
Dell XPS 17, i5-10300H,Intel® UHD GraphicsShukrani sana!
Sasa kaka mimi sina haja wala sihitaji kabisa GPU kubwa,nataka nilipie CPU peke yake pamoja na wide screen display.Yaani nataka vitu viwili tu:
1.Processor kubwa pamoja na clock speed kubwa.Nataka processor kuanzia quad core au hata six core
2.Display ya inch kubwa kuanzia inch 17 na kuendelea.
a)Sasa ninaweza kukwepa kulipia GPU kubwa na kulipia processor kubwa pamoja na display kubwa pekee yake?
b)Naweza kulipia processor kubwa bila ya kurudi kwenye generation za nyuma sana kama vile PC za core i7-4700HQ?
c)Ni PC gani nikinunua naweza kupata advantage ya kukwepa kulipia GPU kubwa kwa sababu mimi sina matumizi nayo?(Mimi nina matumizi na processor kubwa pamoja na screen kubwa peke yake)
LG Gram 17, though haina H processor [Intel Core i7-1065G7]Shukrani sana!
Sasa kaka mimi sina haja wala sihitaji kabisa GPU kubwa,nataka nilipie CPU peke yake pamoja na wide screen display.Yaani nataka vitu viwili tu:
1.Processor kubwa pamoja na clock speed kubwa.Nataka processor kuanzia quad core au hata six core
2.Display ya inch kubwa kuanzia inch 17 na kuendelea.
a)Sasa ninaweza kukwepa kulipia GPU kubwa na kulipia processor kubwa pamoja na display kubwa pekee yake?
b)Naweza kulipia processor kubwa bila ya kurudi kwenye generation za nyuma sana kama vile PC za core i7-4700HQ?
c)Ni PC gani nikinunua naweza kupata advantage ya kukwepa kulipia GPU kubwa kwa sababu mimi sina matumizi nayo?(Mimi nina matumizi na processor kubwa pamoja na screen kubwa peke yake)
Hii mkuu haina GPU kubwa?Dell XPS 17, i5-10300H,Intel® UHD Graphics
Sasa mkuu hizi za generation kubwa ni ghali sana.Mimi nia ya kukataa GPU kubwa ni ili nilipie processor peke yakeLG Gram 17, though haina H processor [Intel Core i7-1065G7]
Sasa hapa mkuu inakuwa ngumu sana, maana soko la laptop used za 17 inch ni gumu sana!! maana zipo chacheSasa mkuu hizi za generation kubwa ni ghali sana.Mimi nia ya kukataa GPU kubwa ni ili nilipie processor peke yake
Kwa nje zipo nyingi sana ila ishu ni gharama za kuzisafirisha kuleta hapa nchiniSasa hapa mkuu inakuwa ngumu sana, maana soko la laptop used za 17 inch ni gumu sana!! maana zipo chache
Hakuna za i5 za generation ya nane?Sasa hapa mkuu inakuwa ngumu sana, maana soko la laptop used za 17 inch ni gumu sana!! maana zipo chache
Hii ni sh ngapi mkuu?LG Gram 17, though haina H processor [Intel Core i7-1065G7]
Shukrani kaka!Ndio, base clock inakuwa ndogo ila zinakuwa na turbo kubwa, kwa laptop ya inch 17 ama 15 inakuwa na cooling nzuri kiasi kwamba inaweza maintain turbo wakati wote.
Mfano i5 8250 ina turbo hadi 3.4 ghz.
Haina imeanza gen ya 8,Shukrani kaka!
Hivi core i9 pia ina generation za nyuma kama vile generation ya 2,3,4,5,6?