Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Bro chief mkwawa siyo mchoyo kabisa kwa hiyo huwa natake hiyo advantage.Kijana kasi yako ya kujifunza ni nzuri sana..
Jamaa azidi kubarikiwa amenisaidia sana mambo mengi kariakoo ,Bro chief mkwawa siyo mchoyo kabisa kwa hiyo huwa natake hiyo advantage.
Namkubali sana.. Miaka ya 2017 nilitake advantage ya uwepo wake humu kuelewa mambo Kama Gen za processors, sijui Base clock mara Turbo Max..Bro chief mkwawa siyo mchoyo kabisa kwa hiyo huwa natake hiyo advantage.
CPU ya ukweli mkuu, core 6 thread 12, kwa laptop ni kati ya cpu zenye nguvu sana.Chief kuna uzi tulikuwa tunajadili pc safi kwa ajili ya rendering, siukumbuki ule uzi, sijui ni huu huu, tukaangukia ktk desktop ambazo mpaka kuzifikisha bongo ni gharama kubwa mnoo, kwa kakipato kangu.
Vipi hapa mzee, inafaa hii? jamaa kaanza na m 1.2, kashukia 1.1, nataka nimnyenge mpaka 700k hv.
Lenovo legion View attachment 1704213View attachment 1704216View attachment 1704215
Siko nayo mimi anayo mtu ndio kanitangazia nataka kuichukua.CPU ya ukweli mkuu, core 6 thread 12, kwa laptop ni kati ya cpu zenye nguvu sana.
Ingia Dxdiag kwa kuisearch angalia na Gpu yake ni ipi?
Huu ni mtambo siyo PC!😄😄😄Chief kuna uzi tulikuwa tunajadili pc safi kwa ajili ya rendering, siukumbuki ule uzi, sijui ni huu huu, tukaangukia ktk desktop ambazo mpaka kuzifikisha bongo ni gharama kubwa mnoo, kwa kakipato kangu.
Vipi hapa mzee, inafaa hii? jamaa kaanza na m 1.2, kashukia 1.1, nataka nimnyenge mpaka 700k hv.
Lenovo legion View attachment 1704213View attachment 1704216View attachment 1704215
Mwenyewe kama yupo humu na kaona, ndio basi tena bei haishuki..Huu ni mtambo siyo PC![emoji1][emoji1][emoji1]
😳😳😳Ngoja niondoe comment mezani!Mwenyewe kama yupo humu na kaona, ndio basi tena bei haishuki..
[emoji23]
"Haina haja, achana nayo, achana nayo"Ngoja niondoe comment mezani![emoji15][emoji15][emoji15]
Cheki Gpu mkuu, hio lazima ina Nvidia fulani,Siko nayo mimi anayo mtu ndio kanitangazia nataka kuichukua.
Mkuu ivi graphics card zote uwa zinaingiliana njia unapochomeka au kuna zingne haziingiliani na utajuaje kama hii kwang njia tofaut!?Cheki Gpu mkuu, hio lazima ina Nvidia fulani,
Ila cpu ya ukweli, bei Pia nzuri.
Andika specifications katika mtindo huu:Ninayo HP pavilion 8th Gen
1.6 1.6 Ghz
8Gb Ram
1T ssd
Invidia gt mx130
Bado mpya
Nipe 800k
Lee njoo hapaNinayo HP pavilion core i5-8256U
1.6 1.6 Ghz
8Gb Ram
1T ssd
Invidia gt mx130
Bado mpya
Nipe 800k
Zote zinaingiliana njia kwa maana ya pcie hayo meno ya kuchomeka. Ila hutofautianaMkuu ivi graphics card zote uwa zinaingiliana njia unapochomeka au kuna zingne haziingiliani na utajuaje kama hii kwang njia tofaut!?
Mkuu VIP kuusu rx550 graphics card ddr5 2gb hii inakaribia na gtx 750ti?Zote zinaingiliana njia kwa maana ya pcie hayo meno ya kuchomeka. Ila hutofautiana
1. Upana na urefu kama unaingiliana na case yako, graphics nyengine Pana sana ama ndefu sana Kama case ni ndogo mpaka utoboe
2. Ulaji umeme na kama inakua tu umeme wa motherboard ama Unahitaji pin toka power supply.
Wakati tukimsubiri. Ila ni kwamba bei na uwezo zote zinakaribiana. Tofauti nikuwa hiyo rx haina muda mrefu toka izundiliwe tofauti na gtx 750 iliyotoka 2014.Mkuu VIP kuusu rx550 graphics card ddr5 2gb hii inakaribia na gtx 750ti?
Mkuu kuna Gpu 3 ambazo ni maarufu kwa hizi desktop za Oem kama Hp na dell.Mkuu VIP kuusu rx550 graphics card ddr5 2gb hii inakaribia na gtx 750ti?
Kwaiyo hapa mnanishauli VP wakuuWakati tukimsubiri. Ila ni kwamba bei na uwezo zote zinakaribiana. Tofauti nikuwa hiyo rx haina muda mrefu toka izundiliwe tofauti na gtx 750 iliyotoka 2014.