Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Bro chief mkwawa siyo mchoyo kabisa kwa hiyo huwa natake hiyo advantage.
Namkubali sana.. Miaka ya 2017 nilitake advantage ya uwepo wake humu kuelewa mambo Kama Gen za processors, sijui Base clock mara Turbo Max..

Jamaa alinifumbua mambo mengi.. saivi naweka kambi kuielewa AMD kwa undani.
 
Chief kuna uzi tulikuwa tunajadili pc safi kwa ajili ya rendering, siukumbuki ule uzi, sijui ni huu huu, tukaangukia ktk desktop ambazo mpaka kuzifikisha bongo ni gharama kubwa mnoo, kwa kakipato kangu.

Vipi hapa mzee, inafaa hii? jamaa kaanza na m 1.2, kashukia 1.1, nataka nimnyenge mpaka 700k hv.

Lenovo legion
IMG-20210216-WA0010.jpg
IMG-20210216-WA0008.jpg
IMG-20210216-WA0009.jpg
 
Chief kuna uzi tulikuwa tunajadili pc safi kwa ajili ya rendering, siukumbuki ule uzi, sijui ni huu huu, tukaangukia ktk desktop ambazo mpaka kuzifikisha bongo ni gharama kubwa mnoo, kwa kakipato kangu.

Vipi hapa mzee, inafaa hii? jamaa kaanza na m 1.2, kashukia 1.1, nataka nimnyenge mpaka 700k hv.

Lenovo legion View attachment 1704213View attachment 1704216View attachment 1704215
CPU ya ukweli mkuu, core 6 thread 12, kwa laptop ni kati ya cpu zenye nguvu sana.

Ingia Dxdiag kwa kuisearch angalia na Gpu yake ni ipi?
 
Cheki Gpu mkuu, hio lazima ina Nvidia fulani,

Ila cpu ya ukweli, bei Pia nzuri.
Mkuu ivi graphics card zote uwa zinaingiliana njia unapochomeka au kuna zingne haziingiliani na utajuaje kama hii kwang njia tofaut!?
 
Hiii naona kama njia zake pana pana tofaut na zile zingine
Screenshot_20210219-182421.jpg
 
Mkuu ivi graphics card zote uwa zinaingiliana njia unapochomeka au kuna zingne haziingiliani na utajuaje kama hii kwang njia tofaut!?
Zote zinaingiliana njia kwa maana ya pcie hayo meno ya kuchomeka. Ila hutofautiana

1. Upana na urefu kama unaingiliana na case yako, graphics nyengine Pana sana ama ndefu sana Kama case ni ndogo mpaka utoboe

2. Ulaji umeme na kama inakua tu umeme wa motherboard ama Unahitaji pin toka power supply.
 
Mkuu VIP kuusu rx550 graphics card ddr5 2gb hii inakaribia na gtx 750ti?
 
Mkuu VIP kuusu rx550 graphics card ddr5 2gb hii inakaribia na gtx 750ti?
Wakati tukimsubiri. Ila ni kwamba bei na uwezo zote zinakaribiana. Tofauti nikuwa hiyo rx haina muda mrefu toka izundiliwe tofauti na gtx 750 iliyotoka 2014.
 
Mkuu VIP kuusu rx550 graphics card ddr5 2gb hii inakaribia na gtx 750ti?
Mkuu kuna Gpu 3 ambazo ni maarufu kwa hizi desktop za Oem kama Hp na dell.

Gtx 750Ti
Rx 550
Gt 1030

Rx 550 Ina nguvu Sema Sababu ni ya Amd driver zake ni Tia maji Tia maji. Inakula umeme around 50w. Siku hizi Amd ni Dili kwa wachimba cryptocurrencies.

Gt 1030 ni mpya Ina media capabilities kubwa na inakula umeme 30W tu ila haina nguvu kushinda hao wawili, Sababu Ina driver nzuri performance yake kwenye games inazidi 550.

750ti yenyewe ni ya kizamani haina media capabilities kubwa mfano haiplay 4k video, ila ina nguvu kushinda zote, kama ni gaming tu unajali hii ni bora zaidi. Pia Sababu inatoka gtx family unaweza stream games.
 
Back
Top Bottom