Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Okay so hapo nitegemee matumiz ya umeme kwa wingi
 
Kwaiyo hapa mnanishauli VP wakuu
Kwa maelezo ya chief hapo angalia unahitaji zaidi kufanyia nini.
Ila kwa maelezo yake hapo nafikiri gtx 750ti ni nzuri zaidi hasa kama ishu ni games tu.
 
Kwa maelezo ya chief hapo angalia unahitaji zaidi kufanyia nini.
Ila kwa maelezo yake hapo nafikiri gtx 750ti ni nzuri zaidi hasa kama ishu ni games tu.
Yeah me pia naitaj kwa game tu so matumiz mengne
 
Okay so hapo nitegemee matumiz ya umeme kwa wingi
Hakuna inayokula umeme hapo hata 750ti ni 60w tu. Umaarufu WA hizo gpu ni kwamba hazili umeme zinakaa kwenye machine nyingi.,
 
Hakuna inayokula umeme hapo hata 750ti ni 60w tu. Umaarufu WA hizo gpu ni kwamba hazili umeme zinakaa kwenye machine nyingi.,
Sasa apo ulipo sema driver zake tia maji tia maji umeniacha kidg[emoji848][emoji848]
 
Sasa apo ulipo sema driver zake tia maji tia maji umeniacha kidg[emoji848][emoji848]
Mkuu kwenye games nguvu ya kifaa tu haitoshi, drivers za graphics pia zinatake role kubwa, drivers zikiwa nzuri basi games Ina play vizuri, drivers zikiwa mbaya na performance pia inakuwa mbaya.

Nvidia Wana drivers nzuri kuliko Amd at least kwa windows.
 
Mkuu vp ........una duka la PC au

Maake sio kwa maujuzi hayo
 
Mkuu vp ........una duka la PC au

Maake sio kwa maujuzi hayo
hapana sina, na ukiwa na duka pia haimaanishi unakuwa na knowledge husika, nenda mtaani uone watu wanavyopigwa GT 610 na 710 ama gpu zifananiazo

ni gpu kimeo kupita maelezo ila ndio madukani wanatambia.
 
Sawa. Mkuu ila nilitaka kuchukua coz jamaaa alikuwa ananiuzia laki, so ndio maana nikaja kutafuta muafaka View attachment 1721615
 
Kwaiyo unanishaul nichukue wakat najipnga kwa iyo 750ti CIO mkuu
Ukishakuwa na 550 no need kununua 750ti, utofauti mdogo sana.

Kama unajipanga Aim 1650 ama 1050, hizi Zina version za low profile zinazomax 75W, unatumia nazo bila waya WA power supply.
 
Ukishakuwa na 550 no need kununua 750ti, utofauti mdogo sana.

Kama unajipanga Aim 1650 ama 1050, hizi Zina version za low profile zinazomax 75W, unatumia nazo bila waya WA power supply.
Ooooh! Sawa mkuu na VIP kujua kama INA shida maana wabongo unatufaham vzr
 
Ooooh! Sawa mkuu na VIP kujua kama INA shida maana wabongo unatufaham vzr
Hilo ni matumizi Sasa mkuu,

Download game kubwa LA kisasa weka setting za juu mpaka izidiwe jaribu kucheza kidogo,

Pia run benchmarks mbalimbali Kisha compare na wenzako online kama score zinafanana.

Wachina Wana tabia ya kubadili bios unauziwa gpu ndogo Kisha inabadilishwa jina kama Gpu kubwa.
 
Dah! Sema mkuu processor yangu pia ndogo nikiweka setting za juu inaweza elemea kwenye processor Pentium g3250,ni ndg sana
 
Dah! Sema mkuu processor yangu pia ndogo nikiweka setting za juu inaweza elemea kwenye processor Pentium g3250,ni ndg sana
Kanunue i7 yake, 80,000 tu kkoo, nunua Cpu waombe na cooler wanaweza kupa pia, zimejaa kibao, i7 4790 na hio rx 550 game yoyote unacheza as long as hutaki graphics kali.
 
Kanunue i7 yake, 80,000 tu kkoo, nunua Cpu waombe na cooler wanaweza kupa pia, zimejaa kibao, i7 4790 na hio rx 550 game yoyote unacheza as long as hutaki graphics kali.
Shukrani sana mkuu mzigo ni huuu nimeupata tayali hapa nazani nijipange kwa ajiri ya hiyo core i7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…