chuxxe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 601
- 370
Okay so hapo nitegemee matumiz ya umeme kwa wingiMkuu kuna Gpu 3 ambazo ni maarufu kwa hizi desktop za Oem kama Hp na dell.
Gtx 750Ti
Rx 550
Gt 1030
Rx 550 Ina nguvu Sema Sababu ni ya Amd driver zake ni Tia maji Tia maji. Inakula umeme around 50w. Siku hizi Amd ni Dili kwa wachimba cryptocurrencies.
Gt 1030 ni mpya Ina media capabilities kubwa na inakula umeme 30W tu ila haina nguvu kushinda hao wawili, Sababu Ina driver nzuri performance yake kwenye games inazidi 550.
750ti yenyewe ni ya kizamani haina media capabilities kubwa mfano haiplay 4k video, ila ina nguvu kushinda zote, kama ni gaming tu unajali hii ni bora zaidi. Pia Sababu inatoka gtx family unaweza stream games.