Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Kama ni active adapter itakubali, passive inaweza isikubali.
Mkuu hapa nimekwama kidogo nikichomeka direct HDMI kwenye TV inafanya kaz vzr to ila shida nikitaka kutumia converter ili nitumie kwenye monitor hai display chochote nimejaribu hiyo pia hailet picha
 
Hiii pia nimejaribu dvi to VGA pia Hailey picha yoyote na ile card INA njia mbil to dvi na hdmi
 
Sasa si ukanunue tu cable ya dvi to dvi basi umalize kazi.
Au labda card ina shida upande wa hiyo port?
Dah we jamaaaa umenambia kitu kizuri sana ila nilisikia dvi haitoi picha quality kama VGA au HDMI !
 
Mfano kama hiii inaweza toa picha nzrView attachment 1722848
Hii ni Dvi D mkuu ambayo ni Digital, hii nzuri zaidi, Dvi I ni digital na Analog na Dvi A ndio Analog



Dvi D yenyewe inaishia
1. Refresh rate ya 60hz
2. Resolution ya wuxga 1920x1200

Kwa monitor ama TV ya kawaida ya full HD na 60hz dvi ipo fresh, ila kwa monitor kali za 120hz kupanda na resolution za kisasa kama 2k, 4k, 8k etc haitaweza kutimiza mahitaji.

Kwa rx 550 full HD Inatosha hata ukiwa na monitor ya 4k haitaweza kugame kwa hii resolution.
 
Sawa mkuu shukran sana nikiwa fresh ntaenda nunua iyo japo sina uhakika kama zinapatikana kwa wing huko mjin
 
Mkuu vp ........una duka la PC au

Maake sio kwa maujuzi hayo
Sio kwamba angekuwa na duka tu pc bali hata kma angekuwa ana kiwanda cha pc kabisa, jamaaa ni nyokooooooooo mara 1000000 unaweza kuta anajua kuliko hata watengenezaji wenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na hii monitor mkuu si itakuwa safi tu kwa maelezo hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…