Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #1,601
Slick deals hawauzi vitu Bali ni forum kama jf Wana ku alert deals mbalimbali za Amazon, eBay, best buy, Newegg etc.Hao slickdeals ni genuine?
Mfano wanaweza kukwambia iPhone 12 imeshuka bei kwa $300 Amazon, unachofanya wewe unaclick link ina kupeleka Amazon kwenye deal husika Kisha unanunua Amazon na sio slick deals.