Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Hao slickdeals ni genuine?
Slick deals hawauzi vitu Bali ni forum kama jf Wana ku alert deals mbalimbali za Amazon, eBay, best buy, Newegg etc.

Mfano wanaweza kukwambia iPhone 12 imeshuka bei kwa $300 Amazon, unachofanya wewe unaclick link ina kupeleka Amazon kwenye deal husika Kisha unanunua Amazon na sio slick deals.
 
Mkuu ivi computer ikiwa inawaka inafika kwenye window loading inakata display shida inaweza kuwa nin au bios au..?
Kama imebypass vyote na inakwama kwenye windows loading kuna uwezekano mkubwa ni tatizo LA software na sio bios ama hardware.
 
Kama imebypass vyote na inakwama kwenye windows loading kuna uwezekano mkubwa ni tatizo LA software na sio bios ama hardware.
Lakin mbona nikiwasha kwa safe mode nika unstail drive za graphics card inakua inawaka tu bila shida yyte ila Niki install tu inakuja black screen
 
Lakin mbona nikiwasha kwa safe mode nika unstail drive za graphics card inakua inawaka tu bila shida yyte ila Niki install tu inakuja black screen
Sababu umewasha safe mode na imewaka ndio inazidi kuonesha ni tatizo LA software.

Jaribu kuweka driver version za zamani.
 
Pia mkuu unaweza nisaidia kupata bios update za dell lnc.a07 maana nimetafuta sana latest hakuna
 
Hapa natest hiii hitman absolution...ultra iko POWa ila na shida na game za PC wazee[emoji120][emoji120]View attachment 1723936
Ok jaribu na hitman 3 imetoka mwaka jana. Game nyingi zipo telegram ikiwemo na hizo. Ni bando lako tu. Ingia telegram then search chanel ya "Pc games"
Halafu fanya fanya upate hata tv inchi 32 tu. Kwenye hako kascreen unaenjoy kweli?
 
Mkuu nimeifatilia vizuri hii card na nimeitambua kuwa ni hii apa:

With
Description

MSI R5450-MD1GD3H/LP: ATI Radeon HD 5450, 1GB 64-bit DDR3, VGA, DVI, HDMI, PCI Express 2.1 X16 Low-profile Graphics Card

Jana nilijaribu kuiweka kwa PC ilionesha kuwaka vizuri bila kudisplay kitu so may be labda issue ni hiyo insufficient wattage au ni hiyo port ya HDMI haifanyi kazi!!!!
Kwenye reviews kuna jamaa anasema yeye anaitumia vizuri kwa PSU ya 320W
 
HD 5450 inakula watts 19 tu, hata ungekuwa na psu ya 180w inasukuma vizuri tu.

Hakikisha umeweka drivers zako vizuri.
 
Sio kwamba angekuwa na duka tu pc bali hata kma angekuwa ana kiwanda cha pc kabisa, jamaaa ni nyokooooooooo mara 1000000 unaweza kuta anajua kuliko hata watengenezaji wenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo sikupng mkuu........haiwezekan yeye ...kila kitu anakijua [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…