Hapa kuna kwali kidogo mkuu ulishawahi sema gen4 iko na nguvu kupita ya tano hasa kwenye upande wa games hivi mfano Mimi generation yangu ya 4 nika upgrade kwenda 5 bado itazidiwa nguvu kama ilivyokua kwa gen 5 kavu na generation hasa uwa INA bebwa na motherboard ama CPU.?Unaweza tengeneza desktop from scratch, hivyo kila kitu ndani ya desktop waweza upgrade.
Mkuu mi sio mpenz sana wa TV ivi naweza pata monitor ya nnch 28 kwa bei? ngani maana mi monitor naona ni nzur zaidi ya TV coz TV uwez tumia ukiwa karibu kama monitorOk jaribu na hitman 3 imetoka mwaka jana. Game nyingi zipo telegram ikiwemo na hizo. Ni bando lako tu. Ingia telegram then search chanel ya "Pc games"
Halafu fanya fanya upate hata tv inchi 32 tu. Kwenye hako kascreen unaenjoy kweli?
Sina hakika ila naonaga monitor za led bei mkasi kama hiyo nchi 28.Mkuu mi sio mpenz sana wa TV ivi naweza pata monitor ya nnch 28 kwa bei? ngani maana mi monitor naona ni nzur zaidi ya TV coz TV uwez tumia ukiwa karibu kama monitor
Nimeona hiii kupatana Ila cjajua kama zina quality nzuri ila bei take NAyo imechangamka sana[emoji848][emoji848]Sina hakika ila naonaga monitor za led bei mkasi kama hiyo nchi 28.
Labda Chief-Mkwawa atusaidie kujua gharama halisi.
Dah! Umenikumbusha enzi za ma-desktop!! Mafundi hawakuwahi kunusa hata senti moja yangu manake kila kitu nilikuwa namaliza mwenyewe! Kwenye haya ma-laptop ndo sina ujanja tena. Wacha nitafute li-tower moja lenye specs za ajabu! Nilikuwa na mpango wa kuagiza Dubai but naona hii shule yako ya upgrading ni nafuu mara 100!Zamani hadi laptop ilikuwa inawezekana kwa M na Mq na Qm series siku hizi ni desktop tu.
Na wala sio kazi fungua desktop yako, chukua screw toa cooler, kuna kiloki unakitoa na kichuma unakiinua cpu unaiona unaitoa unaweka nyengine, ni rahisi hivi tu.
Kabisa mkuuDah! Umenikumbusha enzi za ma-desktop!! Mafundi hawakuwahi kunusa hata senti moja yangu manake kila kitu nilikuwa namaliza mwenyewe! Kwenye haya ma-laptop ndo sina ujanja tena. Wacha nitafute li-tower moja lenye specs za ajabu! Nilikuwa na mpango wa kuagiza Dubai but naona hii shule yako ya upgrading ni nafuu mara 100!
Haya mavitu sometimes yanachanganya sana! Mimi nina laptop 2, moja i7 Gen 6 na nyingine i5 Gen 3. Zote zina RAM 8, wakati hii ya i7 ina CPU 2.7 Ghz 2.7Ghz na ile ya i5, ina 1.8GHz 2.30 GHz. Na hili la i5 kwavile HDD ni ndogo sana (237GB) kwa sasa it's almost full compared na hili la i7 ambalo ni 1TB! Lakini inaponishangaza, naona hili la i5 lipo fasta balaa, manake hata nikisema niziwashe pamoja, hii ya i5 ina-boot ndani ya muda mfupi mnooooo compared to i7!!! Sasa Chief-Mkwawa hebu toa neno kidogo hapa!!!Hapa kuna kwali kidogo mkuu ulishawahi sema gen4 iko na nguvu kupita ya tano hasa kwenye upande wa games hivi mfano Mimi generation yangu ya 4 nika upgrade kwenda 5 bado itazidiwa nguvu kama ilivyokua kwa gen 5 kavu na generation hasa uwa INA bebwa na motherboard ama CPU.?
Hahahaha[emoji16][emoji16] duh! Iyo Nayo kariHaya mavitu sometimes yanachanganya sana! Mimi nina laptop 2, moja i7 Gen 6 na nyingine i5 Gen 3. Zote zina RAM 8, wakati hii ya i7 ina CPU 2.7 Ghz 2.7Ghz na ile ya i5, ina 1.8GHz 2.30 GHz. Na hili la i5 kwavile HDD ni ndogo sana (237GB) kwa sasa it's almost full compared na hili la i7 ambalo ni 1TB! Lakini inaponishangaza, naona hili la i5 lipo fasta balaa, manake hata nikisema niziwashe pamoja, hii ya i5 ina-boot ndani ya muda mfupi mnooooo compared to i7!!! Sasa Chief-Mkwawa hebu toa neno kidogo hapa!!!
Unajua nini?! Tangu ninunue hii laptop sikuwahi kujishughulisha kufahamu kama ni SSD au HDD(nilimpa pesa mtu, ndo akaniletea)!!! Wakati naandika hiyo post hapo juu, ndipo nikahisi inaweza kuwa ni SSD lakini nikaona taabu ku-verify! Baada ya wewe kuuliza sasa, ndipo nami nikapata hamu ya ku-confirm hasa baada ya kuona disk yenyewe ni 256 jambo ambalo si kawaida kwa laptop za sasa! So, you're right, nime-confirm kwamba ni SSD, na bila shaka case closed kwa sababu moja ya sifa ya SSD ni fast boot!!Haina ssd iyo core i5?
Either hdd yake ipo faster ama ina ssd.Haya mavitu sometimes yanachanganya sana! Mimi nina laptop 2, moja i7 Gen 6 na nyingine i5 Gen 3. Zote zina RAM 8, wakati hii ya i7 ina CPU 2.7 Ghz 2.7Ghz na ile ya i5, ina 1.8GHz 2.30 GHz. Na hili la i5 kwavile HDD ni ndogo sana (237GB) kwa sasa it's almost full compared na hili la i7 ambalo ni 1TB! Lakini inaponishangaza, naona hili la i5 lipo fasta balaa, manake hata nikisema niziwashe pamoja, hii ya i5 ina-boot ndani ya muda mfupi mnooooo compared to i7!!! Sasa Chief-Mkwawa hebu toa neno kidogo hapa!!!
Ni sawa kwa hyo bei kwa hyo mashine??Zamani hadi laptop ilikuwa inawezekana kwa M na Mq na Qm series siku hizi ni desktop tu.
Na wala sio kazi fungua desktop yako, chukua screw toa cooler, kuna kiloki unakitoa na kichuma unakiinua cpu unaiona unaitoa unaweka nyengine, ni rahisi hivi tu.
Sema mara nyingi Pentium zina cooler ndogo ukiweka i7 itakuwa feni inapingishwa mzigo mkubwa inapiga kelele hivyo ni vyema ukabadili na cooler ukaeka ya maana ukiweka cpu kubwa, yamejaa kibao kkoo hayana issue muombe hata muuza duka incase umemnunuza. Bila kusahau kuweka ule uji uji kama dawa ya mswaki wanaita thermal paste.
Kuhusu kujua cpu gani inafaa kusaka fanya hivi
1.identify kwanza Una cpu gani ama unataka ku upgrade Cpu ipi, mfano jamaa hapo juu alitaka ku upgrade i7 4790.
2. Google i7 4790 cpu upgrade then click result ya website inaitwa cpu-upgrade.Com
3. Hii website inalist cpu zote ambazo zipo same generation, hapo utaona celeron na Pentium ambazo zipo compatible na hio i7.
4. Kazi sake hizo Pentium na celeron kkoo kwa bei rahisi.
Kuna kamba ya maana hapo, kwamba gpu yenye ti mwisho ni high-end? 750ti kwa sasa ni low end.Ni sawa kwa hyo bei kwa hyo mashine??View attachment 1735033
Kuna kamba ya maana hapo, kwamba gpu yenye ti mwisho ni high-end? 750ti kwa sasa ni low end.
Na hio i5 ni ipi?
Kuna possibility kubwa mkuu ikawa Hai deserve hio hela mkuu.
Upo sahihi, unajua hii laptop baada ya kuinunua, muda mfupi baadae nikanunua hiyo ya i7 kwahiyo ile ya i5 nilikuwa mostly naitumia Jpili tu kwahiyo sikuwahi kuichunguza! Sasa leo nilipoiangalia, kumbe ni kweli ina SSD. Hivi kila laptop inakuwa na sehemu ya kuweka SSD?!Either hdd yake ipo faster ama ina ssd.
Hata hio i7 yako ukiweka ssd sekunde 6 tu inawaka.
Kila laptop ina ssd ya Sata, hivyo unatoka hdd unaweka ssd.Upo sahihi, unajua hii laptop baada ya kuinunua, muda mfupi baadae nikanunua hiyo ya i7 kwahiyo ile ya i5 nilikuwa mostly naitumia Jpili tu kwahiyo sikuwahi kuichunguza! Sasa leo nilipoiangalia, kumbe ni kweli ina SSD. Hivi kila laptop inakuwa na sehemu ya kuweka SSD?!
Hivi serikali .....inasubiri nn kumjengea sanamu CHIEF MKWAWA PALE DODOMA kwa elimu anayotoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
. Umeona eeh😂😂😂Sio serikali tu , bali hta hzo tafiti za kisayansi za kidunia na makampuni yte electronics duniani zinabidi zimjengee jamaa sanamu kila nchi aisee, hyu jamaa ni ALIEN narudia tena.
Hivi kaka mtu akisema graphic card wakati wa kuzungumzia PC au akisema graphics maana yake anamaanisha GPU au kuna maana zaidi ya GPU?Either hdd yake ipo faster ama ina ssd.
Hata hio i7 yako ukiweka ssd sekunde 6 tu inawaka.