Haya mavitu sometimes yanachanganya sana! Mimi nina laptop 2, moja i7 Gen 6 na nyingine i5 Gen 3. Zote zina RAM 8, wakati hii ya i7 ina CPU 2.7 Ghz 2.7Ghz na ile ya i5, ina 1.8GHz 2.30 GHz. Na hili la i5 kwavile HDD ni ndogo sana (237GB) kwa sasa it's almost full compared na hili la i7 ambalo ni 1TB! Lakini inaponishangaza, naona hili la i5 lipo fasta balaa, manake hata nikisema niziwashe pamoja, hii ya i5 ina-boot ndani ya muda mfupi mnooooo compared to i7!!! Sasa
Chief-Mkwawa hebu toa neno kidogo hapa!!!