Haiwezi, at peak hio inakula watts 60 tu, ukijitahidi computer nzima labda utumie unit 2 na hapo umerun vitu vizito tupu.Mkuu!! Hiv hiz graphics card kama hii yangu inaweza kuwa inakula ememe sana mfano kama nikitumia siku nzima naweza tumia unit 5?....
mkuu hii ipo slow sana, ni processor kwa ajili ya mambo mepesi mepesi zisizotumia umeme mwingi.,Asante sana Chief. Vipi kuhusu Intel (R) Celeron (R) CPU N2830 @2.16GHz 2.16GHz
Asante sana mkuu. Kwa kweli mi nilinunua hii komputa bila kujua chochote. Je ninaweza kubadilisha processor, let's say i3 au 85 ili iwe na kasi kidogo? Mi matumizi yangu sio makubwa sana, unanisharije?mkuu hii ipo slow sana, ni processor kwa ajili ya mambo mepesi mepesi zisizotumia umeme mwingi.,
Huwezi mkuu kubadili kwa hio, kama haikukeri endelea kutumia, Uta upgrade pindi itakapokua haikidhi mahitaji.Asante sana mkuu. Kwa kweli mi nilinunua hii komputa bila kujua chochote. Je ninaweza kubadilisha processor, let's say i3 au 85 ili iwe na kasi kidogo? Mi matumizi yangu sio makubwa sana, unanisharije?
Mkuu nilitumia 230,000/= shida ni kwamba pc yangu ni zile ndogo za kulala na haina extra power supply kwahiyo bado sijaitumia
230,000/=750ti? Shingapi imekugharimu?
Duuh! Mkuu upo slow nayo sana basi kwan power supply bei gan mbona machinga ziko nyingi tu na bei chee..Mkuu nilitumia 230,000/= shida ni kwamba pc yangu ni zile ndogo za kulala na haina extra power supply kwahiyo bado sijaitumia
Basi itabidi siku niibebe niende nayo pale machinga, hiyo power supply yaweza cost kama bei gani maana nilikuwa nshaamua kuuza ila nashukuru nimebadili mawazoDuuh! Mkuu upo slow nayo sana basi kwan power supply bei gan mbona machinga ziko nyingi tu na bei chee..
Mkuu samahaniHuwezi mkuu kubadili kwa hio, kama haikukeri endelea kutumia, Uta upgrade pindi itakapokua haikidhi mahitaji.
Inategemea na computer mkuu, ungeweka full model yake ingekua rahisi kujuaMkuu samahani
Pc yangu ni zile ndogo za kulala niliagiza graphic card low profile bahati mbaya ikaja kubwa na yenye extra power supply, vp naweza naweza badili power supply nikaweka yenye extra kwa ajili ya hiyo graphics card (nividia gerfoce 750ti)
Hii
HiyoInategemea na computer mkuu, ungeweka full model yake ingekua rahisi kujua
Model ya nyuma ya pc mkuu, kwenye ile sticker.Hiyo
Hiyo siikumbuki labda nielekeze namna yakuiangaliaModel ya nyuma ya pc mkuu, kwenye ile sticker.
We Angalia tu juu chini pembeni nyuma utaona sticker wameandika model ya pc.Hiyo siikumbuki labda nielekeze namna yakuiangalia
nshakifahamu ila nahisi kama kilibandukaWe Angalia tu juu chini pembeni nyuma utaona sticker wameandika model ya pc.