Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Vp kuhusu AMD maana Ndo znazo trend kwa sasa kulko intel processors?
Pia naomba ufafanuz kuhusu g processor Za intel
Mfano intel core i5 gen ya 10 ina clock speed ya 1.19ghz ila maximum inafika 3.3ghz
Pia naomba kuelimishwa juu ya hyperthreading na umuhmu wake
 
Mkuu!! Hiv hiz graphics card kama hii yangu inaweza kuwa inakula ememe sana mfano kama nikitumia siku nzima naweza tumia unit 5?....
Haiwezi, at peak hio inakula watts 60 tu, ukijitahidi computer nzima labda utumie unit 2 na hapo umerun vitu vizito tupu.
 
Wakuu habari za mida. Nje ya mada, wapi ninaweza kupata keyboard ya PC Acer Apsire M3 581TG kwa bei rafiki.

Kama kuna fundi pia ninamkaribisha tufanye kazi.
Ninatanguliza shukrani zangu.
 
mkuu hii ipo slow sana, ni processor kwa ajili ya mambo mepesi mepesi zisizotumia umeme mwingi.,
Asante sana mkuu. Kwa kweli mi nilinunua hii komputa bila kujua chochote. Je ninaweza kubadilisha processor, let's say i3 au 85 ili iwe na kasi kidogo? Mi matumizi yangu sio makubwa sana, unanisharije?
 
Huwezi mkuu kubadili kwa hio, kama haikukeri endelea kutumia, Uta upgrade pindi itakapokua haikidhi mahitaji.
 
Mkuu nilitumia 230,000/= shida ni kwamba pc yangu ni zile ndogo za kulala na haina extra power supply kwahiyo bado sijaitumia
Duuh! Mkuu upo slow nayo sana basi kwan power supply bei gan mbona machinga ziko nyingi tu na bei chee..
 
Duuh! Mkuu upo slow nayo sana basi kwan power supply bei gan mbona machinga ziko nyingi tu na bei chee..
Basi itabidi siku niibebe niende nayo pale machinga, hiyo power supply yaweza cost kama bei gani maana nilikuwa nshaamua kuuza ila nashukuru nimebadili mawazo
 
Huwezi mkuu kubadili kwa hio, kama haikukeri endelea kutumia, Uta upgrade pindi itakapokua haikidhi mahitaji.
Mkuu samahani
Pc yangu ni zile ndogo za kulala niliagiza graphic card low profile bahati mbaya ikaja kubwa na yenye extra power supply, vp naweza naweza badili power supply nikaweka yenye extra kwa ajili ya hiyo graphics card (nividia gerfoce 750ti)
 
Inategemea na computer mkuu, ungeweka full model yake ingekua rahisi kujua
 
Hii
IMG_20201019_181937_142.jpg
 
Back
Top Bottom