Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #681
hizi aTom za kisasa zinaanziwa na N mwanzoni, za zamani kidogo zilikuwa zinaanziwa na Z na za zamani kabisa N pia.Mkuu hivi hizi core za Atom kifupi utazigundua kwenye processor zinazoanziwa na herufi gani na gani?
mfano angalia i5/i3/i7 zilivyo
i3 6100u
i5 6200u
i7 6500u
then angalia Atom zilivyo
pentium N4200
Atom X7 Z8700
atom X5 Z8500 etc
zenyewe namba inaanza herufi kisha namba (N4200) wakati hizi core series zinaanza namba kisha herufi (4200M)
hio ndio tofauti ambayo naona ni rahisi kuijua.
ila jifunze ku google ukiona cpu kama hio unaeka google then unaiangalia specifocation utaona generation na nguvu zake.