Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Habari mkuu! Naomba msaada nina speaker moja ya kawaida ya radio ambayo ina cable tu za waya sio bluetooth na smartphone ya android, nachotaka kufanya niiweze hii speaker ili niweze play music kwenye simu yangu isikike kwenye ile speaker cable ipi natumia au njia gani natumia mkuu.Ahsanteh

Chief-Mkwawa

Port ya simu ya earphone inaweza kutumika kuplay speaker ila fahamu.
1. Umeme unaotoka kwenye simu ni mdogo sana sio rahisi kuweza kuipa umeme speaker kubwa. Unless hilo speaker lina source yake yenyewe ya umeme.
2. Zipo case za simu kuungua kwa kuletewa umeme mkubwa toka kwenye masabufa ya kichina, hivyo hata kama speaker lina source yake ya umeme utahitaji kuwa muangalifu.

Alternative ni kununua adapter ya bluetooth inayo convert speaker ya kawaida kuwa ya bluetooth.
 
Hayapo hata nilipokuwa nasave majina nilikuwa nasave kwenye e-mail na sio kwenye simu, nikijaribu kuyatafuta kwenye e-mail hayapo
Email ile ile uliotumia kwenye j8 ndio unatumia simu ya sasa?
 
Port ya simu ya earphone inaweza kutumika kuplay speaker ila fahamu.
1. Umeme unaotoka kwenye simu ni mdogo sana sio rahisi kuweza kuipa umeme speaker kubwa. Unless hilo speaker lina source yake yenyewe ya umeme.
2. Zipo case za simu kuungua kwa kuletewa umeme mkubwa toka kwenye masabufa ya kichina, hivyo hata kama speaker lina source yake ya umeme utahitaji kuwa muangalifu.

Alternative ni kununua adapter ya bluetooth inayo convert speaker ya kawaida kuwa ya bluetooth.
Naweza kufanyaje hili mkuu tafadhari? Na hii speaker haina source ya umeme ni zile speaker za radio za sony za kawaida.
 
Cost yake inaweza fika kiasi gani mkuu?
Kwenye adapter ya bluetooth hapo ndio ghali inaweza kuwa minimum 20,000. Hivyo vicable na viunganishi ni buku buku tu vikizidi 2000.

Sema ufanye tu kama hobby maana hizo gharama unapata speaker ya bluetooth.
 
Nipe option tu ya speaker ya bluetooth kwa bei hiyo mkuu brand gani? Hata kwa pic tu.
 
Brand za kichina mkuu,agrrey kuanzia 10,000 unapata bluetooth speaker.
Za bei rahisi zinakuwa kama hivi
portable-new-mini-bluetooth-speaker-s1-.jpg

Za kama 20,000 hadi 40,000 zinakuwa kubwa kidogo.
2015-Bluetooth-Speakers-best-speaker-2015.jpg

Kwa brand nzuri kama anker bei inakuwa kubwa zaidi kuanzia kama 50,000 hivi,

Kama matumizi sio makubwa hata hio ya 10,000 inafaa, mimi naitumia kusikilizia sauti ya movie kwenye laptop.

Pia zinakuwa na battery hivyo unaweza kuibeba na kwenda nayo unapotaka.
 
Vya elfu 10 si ndo kama vile vina sehemu ya kuwek memory na flash je vina opt ya bluetooth.
 
Ndio vinavyo, pia unaweza tumia kusikilizia headphone ukiwa mbali.

Mfano laptop ama kifaa chenye bluetooth kipo sebuleni, spika ipo chumbani na hutaki kusumbua watu unachomeka headphone kwenye hicho kispika. Sauti itatoka kwa bluetooth toka sebuleni hadi chumbani kwa bluetooth kisha itakuja masikioni kwa headphone.
 
Hii vipi mkuu kwa 15,800 toka china na vile vidude uki compare
Screenshot_20180928-200503.png

Screenshot_20180928-200436.png
 
Mkuu hivi vitu brandless visivyo na specs ni kubahatisha tu, probably ni same.

Pia vyema utembelee agrey maana unaweza ikuta same kwa bei hio hio.
Hapo sawa shukrani mkuu kwa muongozo kiu yangu imekaa njema sasa.
 
Chief unaizungumziaje hii INFINIX note 5, nataka nikaichukue hiyo au Samsung J7 pro, maana spec zinafanana??
 
Unapunguzaje quality ya graphic mkuu
Unaingia kwenye setting kisha graphics. Unapunguza hadi utakapoona haikwami kwami.

Kikawaida ukiwa unacheza game na kubinueza esc ama button unayotumia kupause kuna menu inatokea na option nyingi nyingi ikiwemo graphics, audio, controller etc
GTA-V-graphics-options-2-1024x576.jpg
 
Back
Top Bottom