Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief-Mkwawa . Nina Laptop Lenovo G500 ina Intel ® Celeron CPU 1005M @ 1.90GHz, Je naweza nikaupgrade kwa kuweka Hii Intel Core i5-4210M 2.6GHz SR1L4. Ita work maana ni ya kuagiza online???
1.JPG
 
Attachments

  • 2.JPG
    2.JPG
    42.1 KB · Views: 41
Mkuuu vip kuhusu processor za AMD ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Amd wanazo nzuri siku hizi za ryzen, hazina single core nzuri kama intel ila multi thread zipo vizuri kwa bei yake. Nzuri sana kwa workstation task na vitu kama video editing kama upo on budget na zinafaa pia kwa gaming kama sio hardcore gamer.

Jiepushe na architecture yoyote tofauti na Ryzen unaponunua cpu za Amd
 
Ukisema nichek motherboard kama inakubali unamaansh?
Unaweza kuangalia mwenyewe kwa macho kwa kufungua laptop na kuangalia kama ina socket ya kupachika hio processor maana kuna oem huwa wanazichomelea humo humo na hazitoki.

Pia unaweza ukaangalia kwa kugoogle full model ya pc yako kuangalia kama unaweza ukai update.
 
nimecheki cpu haijachomelewa (inatoka), nimechagua hii Intel Core i3-3110M Bridge mobile 2.4GHz socket G2 SR0N1 oem naomba sifa zake ukilinganisha na hile ya mwanzo (Intel ® Celeron CPU 1005M @ 1.90GHz )
 
Perfomance itaongezeka kiasi kama 30% kwenye single thread na 50% kwenye multi threaded. I3 haina turbo boost ndio maana unaona perfomance haitakuwa kubwa sana. I5 hujapata?
 
sawa ngoja nijaribu kufatilia tena kama nitapata i5, nitakupa mrejesho mkuu
 
Perfomance itaongezeka kiasi kama 30% kwenye single thread na 50% kwenye multi threaded. I3 haina turbo boost ndio maana unaona perfomance haitakuwa kubwa sana. I5 hujapata?
vipi hii Intel Core CPU i5-3210M Dual-Core 2.5Ghz PGA988 SR0MZ Socket G2 performance itaongezeka kiasi gn?
 
Perfomance itaongezeka kiasi kama 30% kwenye single thread na 50% kwenye multi threaded. I3 haina turbo boost ndio maana unaona perfomance haitakuwa kubwa sana. I5 hujapata?
@Chief-Mkwawa
Nilikuwa na Dell inspiron 3521 processor intel celeron ( 2xxxU) iliuguza capacitor na IC za power
Sasa swali langù je siwezi kununua motherboard nyingine lakini processor yake iwe mf core i3 or i5 nikapachika kwenye hili jumba lilibaki?

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Unaweza mkuu ila inabidi iwe model hio hio, sababu inawezekana kabisa laptop ya celeron kuwa na same dimension kama i7 ama i5 hasa kwa hio yako ambayo ni u series. Kama sijakosea hio ni 4th gen.
 
Back
Top Bottom