Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Mkuu mimi ningeomba tu, atleast unipe specifications za laptop ambayo ni latest na isizidi bajeti ya 850k, ambayo nitacheza games ngumu, kazi za graphics design, movies HD nitaona n.k..yn iwe generation ya ngapi, ram, HDD, na vikolokolo vingine ambavyo nikienda kwa supplier / seller napick tu na hawezi kunipiga
kwa budget hio mkuu unapata used tu, kwa mpya unaweza pata lakini usubiria deals za online na ununue online ije Tanzania.

hakikisha angalau ni gen ya 8 core i5 na iwe na dedicated graphics hata ikiwa low end kama nvidia 930mx ama 940mx si mbaya

mambo mengine kama ram, hdd etc si ya muhimu sana sababu unaweza ongeza mwenyewe mbele ya safari,

mifano ya laptop niliposearch online
-i5 8th gen na 930mx kwa 850,000

-i5 8th gen na mx110 kwa 800,000
 
Wakuu nahitahi Dell makini especially Latitude kwa 800K
 
kwa budget hio mkuu unapata used tu, kwa mpya unaweza pata lakini usubiria deals za online na ununue online ije Tanzania.

hakikisha angalau ni gen ya 8 core i5 na iwe na dedicated graphics hata ikiwa low end kama nvidia 930mx ama 940mx si mbaya

mambo mengine kama ram, hdd etc si ya muhimu sana sababu unaweza ongeza mwenyewe mbele ya safari,

mifano ya laptop niliposearch online
-i5 8th gen na 930mx kwa 850,000

-i5 8th gen na mx110 kwa 800,000
Hivi kaka hizi used abroad huwa hazisumbui?
 
used ni kubet mkuu,

ila kama unanunua abroad weka hela yako pembeni muda wowote, kila siku angalia slickdeals ama woot ama site zifananiazo, unaweza pata laptop kali kwa $300 kushuka.
Hivi kaka hizi site huwa zinatuma Tanzania kupitia masanduku ya posta?
 
Unatumia forwarder kama myus ama ship and shop, around dola 30 mpaka 40 kwa kilo moja.
Chifu msaada kuhusu hiii machine inaweza kupafom game vizr na VP kuusu latest game inaweza
core i5_6200u...
Ram GB 8
Nvidia 920m..2gb
View attachment 1703095
IMG-20210215-WA0022.jpg

View attachment 1703098View attachment 1703099
 
Chifu msaada kuhusu hiii machine inaweza kupafom game vizr na VP kuusu latest game inaweza
core i5_6200u...
Ram GB 8
Nvidia 920m..2gb
View attachment 1703095View attachment 1703096
View attachment 1703098View attachment 1703099
920M inatumia ddr3 haina tofauti sana na hio Intel HD 620.

Itacheza games kwa quality ndogo 720p games za zamani na mpya kwa 480 mpaka 600p hivi.

Kwa nvidia tafuta zinaishiwa na mx kama 930mx, 940mx etc. Hizi Ndio low end mpya.

Na Gpu za zamani Hakikisha namba ya kati angalau ni 5 kupanda juu kama 960m, 750m, 850m etc hizi zina DDR5 angalau zina nguvu.
 
Thanks sana mkuu ila nina swali kidogo naitaji kueleweshwa
Nini..maana ya oveclocking.!?
 
Overclocking ni kuiwezesha cpu kurun clock kubwa zaidi kuliko ile inayokuja nayo processor (stock)

Mfano cpu yako imeandikwa Quadcore 4.0ghz, unaweza ukai overclock kwenda 5.0ghz na performance itaongezeka 25%.

Sema most of times ni desktop zenye motherboard maalum Ndio zinaweza fanya hii kazi.
 
Oooh!! So mkuu iyo GHz.ndio speed ya computer!?
 
Ndio hizo ni idadi ya cycle.

1 GHz ni sawa na cycle bilioni 1, ina maana kwa sekunde moja execution bilioni 1 zinafanyika kwenye cycle.

Ina maana cpu ya 4ghz ina execute cycle bilioni 4 Ila uki overclock hadi 5ghz ina maana Uta execute cycle bilioni 5.

Ila speed ya cpu si GHz pekee kuna factor nyengine Pia kama IPC ambayo ni idadi ya instruction zinafanyika kila cycle.
 
Shukran sana mkuu naitaj darasa sana ili niweze kuelewa kuusu haya mambo
 
Anand tech website tumia, wana reviews nzuri sana, wanai Gia deep upande wa cpu, mwanzo utapata tabu Ila taratibu utakuwa Familiar na hizo terms.
 
Overclocking ni kuiwezesha cpu kurun clock kubwa zaidi kuliko ile inayokuja nayo processor (stock)

Mfano cpu yako imeandikwa Quadcore 4.0ghz, unaweza ukai overclock kwenda 5.0ghz na performance itaongezeka 25%.

Sema most of times ni desktop zenye motherboard maalum Ndio zinaweza fanya hii kazi.
Kaka:
1.Nikitaka ku-overclock nafanyaje?Ni process ngumu sana?

2.Kuna hasara zipi/gani za ku-overclock CPU?
 
Anand tech website tumia, wana reviews nzuri sana, wanai Gia deep upande wa cpu, mwanzo utapata tabu Ila taratibu utakuwa Familiar na hizo terms.
Hivi mkuu kama ukinunua powersuply kubwa ukaweka kwenye izi desk top zetu za core i5 inaweza let's mathara yeyote au powersupply zote ziko sawa t
 
Hakuna madhara, kama Haipo suitable automatic utashindwa kuweka.

Desktop za mitaaani nyingi ni za Oems kama Hp au dell ama Lenovo etc hizi zina power supply maalum nyingi za pin 6 haziingiliani na standard power supply za pin 24 ama 20, hivyo ukinunua power supply ya kawaida waya wake hakuna PA kuchomeka kwenye motherboard.

Hivyo step ya kwanza ni kuangalia una psu gani kwenye mashine yako, ukishajua Ndio una tafuta upgrade ya hio psu kutokana na connector/pini zake.
 
Kaka:
1.Nikitaka ku-overclock nafanyaje?Ni process ngumu sana?

2.Kuna hasara zipi/gani za ku-overclock CPU?
Si process ngumu kuna hadi graphical interface wewe una slide tu, lakini unatakiwa hardware ziwe zinakubali.

Hasara ni kwamba cpu inakufa upesi, sababu ya umeme mwingi na joto, Ila upesi hio kwa cpu badala ya kuishi miaka 30 itaishi miaka 10 ama 15, cpu zinaishi umri mrefu sana kutokana na material yake.
 
Shukrani mkuu!🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom