Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Celeron G1820, 1830, 1840 na 1840 ni celeron za Gen ya 4.

Pentium G3220 mpaka Pentium G3470 zote ni Pentium za Gen ya 4

I3 a i5 zote zinazoanziwa na 4 kama i3 4100 na i5 4500 na 4600 unaweza upgrade.

Ila sweet point ni hizo celeron na Pentium unazipata chini ya laki 2, pamoja na ku upgrade inakusimamia kama laki 2 tu.
Shukrani sana Chief-Mkwawa 🤝
 
Na kw experience yako mkuu, vp kuhusu location au duka ambapo naeza kuzipata hivi vitu kirahisi hapo kkoo( mana pc zenyewe mezijulia ukubwani chief)
 
Mtaa mzima wa likoma na Aggrey mkuu,

Kuna maduka ya kutosha.

Mimi pc yangu nilinunua kaale mtaa wa likoma duka linaangalizana na kanisa la KkkT. Bei ni 140k mpaka 180k kutegemea na storage.

Then nika upgrade Cpu kwenda i7 kwa 80k, kuna jamaa anaitwa Andrea Mtaa wa Aggrey opposite na Bank ya mkombozi, ukiingia ndani duka LA corner.

Then baadae ukiwa na hela upgrade ram, around 60,000 kwa slot 2 za 4gb iwe 8gb, na ssd around laki 1 256GB. Then malizia na gpu, utapata machine ya kudumu miaka kibao.
 
Hivi mkuu, core i7 gen 4 { 4 cores with 8 thread}

ni sawa kununua kwa mwaka huu, kwa maana ukiangalia nguvu yake inaweza suport mpaka Game za 2030's ??
 
Ps4 na Xbox one zina thread 8 pia, as long as zipo Hai games zote utacheza, maana siku hizi developers ni hao hao wanaport tu. Kifupi hio i7 ina nguvu kushinda playstation 4 na Xbox one.

Ps5 na Xbox series s zina core 8 na thread 16, hivyo siku yoyote wakisitisha support ya ps4 na Xbox one na hii i7 itakuwa outdated,

Hivyo pengine kabla ya 2030 ikawa outdated.

Na ukitaka hio machine yenye core 8 na thread 16 andaa mpunga mrefu, zaidi ya milioni.
 
Mtaa mzima wa likoma na Aggrey mkuu,

Kuna maduka ya kutosha.

Mimi pc yangu nilinunua kaale mtaa wa likoma duka linaangalizana na kanisa la KkkT. Bei ni 140k mpaka 180k kutegemea na storage.

Then nika upgrade Cpu kwenda i7 kwa 80k, kuna jamaa anaitwa Andrea Mtaa wa Aggrey opposite na Bank ya mkombozi, ukiingia ndani duka LA corner.

Then baadae ukiwa na hela upgrade ram, around 60,000 kwa slot 2 za 4gb iwe 8gb, na ssd around laki 1 256GB. Then malizia na gpu, utapata machine ya kudumu miaka kibao.
Much appreciation mkuu..
 
Barikiwa sana kwa taarifa hizi.
 
Hili darasa sijui kwanini nimechelewa kuliona. Ahsante sana kwa darasa muhimu. Btw, vipi una contacts za huyo mshikaji Andrea wa Aggrey?
 
Celeron G1820, 1830, 1840 na 1840 ni celeron za Gen ya 4.

Pentium G3220 mpaka Pentium G3470 zote ni Pentium za Gen ya 4

I3 a i5 zote zinazoanziwa na 4 kama i3 4100 na i5 4500 na 4600 unaweza upgrade.

Ila sweet point ni hizo celeron na Pentium unazipata chini ya laki 2, pamoja na ku upgrade inakusimamia kama laki 2 tu.
Kaka nahisi kuna darasa nilikosa mahali!Inawezekana vipi ku-upgrade pc kutoka pentium kwenda intel core i7?Ni vitu gani huwa vinapaswa kufanyika ili kuiondoa PC kutoka family ya nyuma kama vile celeron kwenda katika family za mbele kama vile intel core i7?
 
Zamani hadi laptop ilikuwa inawezekana kwa M na Mq na Qm series siku hizi ni desktop tu.

Na wala sio kazi fungua desktop yako, chukua screw toa cooler, kuna kiloki unakitoa na kichuma unakiinua cpu unaiona unaitoa unaweka nyengine, ni rahisi hivi tu.

Sema mara nyingi Pentium zina cooler ndogo ukiweka i7 itakuwa feni inapingishwa mzigo mkubwa inapiga kelele hivyo ni vyema ukabadili na cooler ukaeka ya maana ukiweka cpu kubwa, yamejaa kibao kkoo hayana issue muombe hata muuza duka incase umemnunuza. Bila kusahau kuweka ule uji uji kama dawa ya mswaki wanaita thermal paste.

Kuhusu kujua cpu gani inafaa kusaka fanya hivi
1.identify kwanza Una cpu gani ama unataka ku upgrade Cpu ipi, mfano jamaa hapo juu alitaka ku upgrade i7 4790.
2. Google i7 4790 cpu upgrade then click result ya website inaitwa cpu-upgrade.Com
3. Hii website inalist cpu zote ambazo zipo same generation, hapo utaona celeron na Pentium ambazo zipo compatible na hio i7.
4. Kazi sake hizo Pentium na celeron kkoo kwa bei rahisi.
 
1.Je nabadili CPU peke yake bila kubadili vitu vingine kama vile graphic cards,GPU,hardwares na vitu vingine?

2.Je ninaweza kuupgrade na nikapata generations,mfano niupgrade pentium nipate core i7 generation ya 11?

3.Je nitakosa vitu gani kama nitaupgrade pentium kwenda core i7 ukilinganisha na mtu ambae amenunua desktop yenye core i7 moja kwa moja?

4.Je kuna uwezekano wa kuupgrade kutoka celeron kwenda pentium au kutoka pentium kwenda Core series?
 
unabadili cpu peke yake vyengine vinabaki kama vilivyo

mara nyingi unapata gen moja tu ama hupati kabisa, mfano unaweza upgrade i3 ya 2nd gen kwenda i7 ya 3rd gen ila huwezi upgrade 2nd gen kwenda 11 gen. hio website niliyokupa itakuonesha limit yako.

in theory hukosi kitu, ila kiuhalisia vifaa vinavyokuja na pentium vinakuwa low end sana, mfano unakuta desktop ya pentium ina ram 2gb tu, na hdd ndogo labda 160gb ama ikizidi sana 500gb, hivyo unapo upgrade kutumia i7 na 2gb ram haimake sense utataka ufungue programs nzito hivyo itabidi na ram u upgrade,

ndio unaweza upgrade/downgrade cpu yoyote ndani ya series, celeron kwenda i3, ama ukatoa i5 ukaeka i3 etc.
 
Shukrani sana kaka,sasa kama nataka baada ya kuupgrade CPU niupgrade pia kila kitu kama vile RAM,GPU,graphics na vitu vingine ili niwe na performance nzuri,je inawezekana?Na kama inawezekana ni vitu gani ambavyo sitaweza kuupgrade?
 
gpu na graphics ndo hio hio inawezekana, ram inawezekana na cpu inawezekana, desktop ni rahisi sana,

kwa laptop inategemnea na model ila ni ngumu hasa za sasa.
 
Shukrani kaka ila swali langu lilikuwa linahusu desktop pekee,kwamba ni vitu gani ambavyo sitaweza kupgrade?au kila kitu ndani ya desktop kinawezekana kuupgrade?
 
Back
Top Bottom