Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,859 Reaction score 4,539 Nov 25, 2022 #1 Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua.. Attachments IMG-20220510-WA0020.jpg 47.4 KB · Views: 59
Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 25, 2022 #2 Yakunle said: Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua.. Click to expand... Weka Picture Maana Thread Haitapata Mvuto
Yakunle said: Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua.. Click to expand... Weka Picture Maana Thread Haitapata Mvuto
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,859 Reaction score 4,539 Nov 25, 2022 Thread starter #3 Kennedy said: Weka Picture Maana Thread Haitapata Mvuto Click to expand... Nimeweka mkuu.. nipe msaada wako🙏🙏
Kennedy said: Weka Picture Maana Thread Haitapata Mvuto Click to expand... Nimeweka mkuu.. nipe msaada wako🙏🙏
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 25, 2022 #4 Yakunle said: Nimeweka mkuu.. nipe msaada wako🙏🙏 Click to expand... Hicho Tumia Petrol Na Brush
Zekoddo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 1,859 Reaction score 4,539 Nov 25, 2022 Thread starter #5 Kennedy said: Hicho Tumia Petrol Na Brush Click to expand... Petrol hiihii ya kwenye magari mkuu..?
ThisIsIt Member Joined Oct 4, 2022 Posts 31 Reaction score 64 Nov 25, 2022 #6 Kuna duka la viatu huku Dar pale Posta Mpya..wanauza viatu kampuni ya Catapiler liko pembeni ya NMB BANK..nenda pale na iko kiatu utapewa dawa ya kuoshea na kung'arishia pamoja na brush ya kuoshea hiyo SUEDE SHOE
Kuna duka la viatu huku Dar pale Posta Mpya..wanauza viatu kampuni ya Catapiler liko pembeni ya NMB BANK..nenda pale na iko kiatu utapewa dawa ya kuoshea na kung'arishia pamoja na brush ya kuoshea hiyo SUEDE SHOE