Awe na hati ya kusafiria au mtakutana tu kama wale jamaa wa miaka ileeee?😂Tukutane airport ya mwalimu julius
HahaaaaaTumsifu Yesu Kristo Nikiwa Kama Myahudi Toka Mbeya Mjini kabwe Utaratibu kwa sasa haujawekwa wazi ngoja tusubiri muongozo toka kwa viongozi Wetu kutoka Jerusalem
HahaaaaaNikiwa kama mjukuu wa kilebwe kupitia kitukuu wa mjukuu na mtoto wa malikia sheba babu yangu ni yule kitukuu ambaye babu yake ni mjukuu wa kitukuu wa mtoto kupitia mimba ya nabii Suleiman kwa malkia wa sheba.......Nasema naomba muongozooo chapu.........
Ni Vita Siyo operesheni.Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.
Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.
Kuna utaratibu uliowekwa?
Tukutane airport ya mwalimu julius
Kila kitu ni Cha Mungu wetu MUNGU wa waisrael NDIO Mungu wetu MUNGU wa vyoteeeAwe na hati ya kusafiria au mtakutana tu kama wale jamaa wa miaka ileeee?😂
😊😊☺️☺️
View: https://youtu.be/VPTi-azZTk8?si=RADbdLxZiGBAHrD0
Huyo ndio atakuwa kama hao jeshi la Israel wanaishia mpakani afu wanapewa kichapo
View: https://youtu.be/EmUkiPvEuuU?si=JN5iJuqONQ8cn_CW
Hebu acha udwanzi, kaa kwa kutulia ujenge nchi yakoTaifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.
Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.
Kuna utaratibu uliowekwa?
Wewe ni Mtanzania mwenzangu kweli?Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.
Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.
Kuna utaratibu uliowekwa?
Taifa teule taifa la Israel mkuu twende balozi kasema usafir ni bureee wa naitaji wapiganaji 3,000,000 kwenda kuifagia gaza ya wafiristi....Hebu acha udwanzi, kaa kwa kutulia ujenge nchi yako
Ni Vita Siyo operesheni.
Mkuu hapo unapiga msuba then unaingia front sisi tunakipenda Kifo kuliko kuishi alinukuliwa kiongozi wa al quada Osama bin laden
View: https://youtu.be/VPTi-azZTk8?si=RADbdLxZiGBAHrD0
Huyo ndio atakuwa kama hao jeshi la Israel wanaishia mpakani afu wanapewa kichapo
View: https://youtu.be/EmUkiPvEuuU?si=JN5iJuqONQ8cn_CW