Ni kweli, kampuni za bima sometimes hazipakii taarifa kwenye mfumo wa TIRASometimes data zinachelewa kuwa uploaded na hizi kampuni. Hawajawa competent sana kwenye IT. Mie huwa natembea na makaratasi ya Bima, kwa sababu sometimes TIRA MIS huwa haisomi vizuri.
Nilikuwa sijui kuhakiki bima, nimeangalia muda huu wanasema bima yangu ime expire siku 1550 zilizopita. Nimegundua ni waongo au taarifa haziingizwi kwenye system kwani sijawahi kuchelewa kukata bima kamwebima yenyewe ime expire
Mkuu inategemea na kampuni husika, wengine hawakupi keshi na wana gereji zao. Gari inapelekwa gereji wanaitathmini gharama za matengenezo, unapewa invoice unaipeleka bima. Then unasubiri tu gari yako iwe tayari, ila pesa ugusiUmetia chumvi. Bima haijawahi kumnunulia mtu gari, baada ya assessment kufanyika na technical opinion kutolewa kuwa gari ipo beyond economical repair na au thamani ya matengenezo ni zaidi ya 75% ya thamani gari bima wanakulipa fedha inayolingana na thamani ya gari kabla ya ajali.
Kama gari inaweza kutengenezwa, si lazima kampuni ya bima kukuchagulia garage. Mteja anaweza kuchagua garage anayoona inafaa.
Vijana msiwe mnapenda habari za vijiweni.
Bima watalipa sababu alilichukua bila ruhusa; na hio itadhibitika baada ya uchunguzi wa polisi, na wataandikia formal statement, sasa bima kazi yake nini?Hata bima haina msaada hapo.
Tuheshimu mali za watu.
toka lini uchawi mchawi akaloga chizi au kuua chizi, hapo ndo ujue sumaki haijanasa pengine muosha anahistoria yakulogwa tayariCari no namba DS bima inaonesha gari haina bima kwa siku 231 hivi! Je kuna uhalisia hapa?
Hi yo gari ilikuwa inatafuta damu ya kuondoka nayo..bahati mbaya imekosekana.. Kwa mzinga ule halafu mwana katoka salama..KWELI CHIZI HAROGWI TENA
Wewe umechanganyikiwa kweli, kwani kwenye bima note leaf huwa wanaandika nani anatakiwa awe anaendesha? Huoni kwamba huyo kachukua gari bila ruhusa ya mwenye gari, hiyo ni sawa na kuiba tuHaiwezi kumsaidia kwakua hakua anaendesha yeye.
Alimpa funguo ili aendeshe au alimpa ili afungue na kuosha ndani?Hata ukiwa na premium, hapo kosa ni la mwenye gari. Utampaje funguo jamaa ambaye ukute hana hata leseni ya kuendesha chombo cha moto? Ni shida. Hapo ahesabu hasara
Mwizi asiye na leseni akiiba gari na kupata nalo ajali wakati anakimbizwa, Bima inalipa?Bima haiangalii nani alikuwa anaendesha bali inangalia aliyekuwa anaendesha alikuwa na leseni sahihi ya kuendesha chombo husika
Sasa kama haikuwa na bima kubwa, unategemea nani atakulipa?Mwaka 2011 gari ya mzee ilipata ajali haikua bima kubwa iliyokatwa ila tulijibiwa haiwezi kua covered kwa kua dereva hakua yeye. Na gari haikua na 'non owner liability insurance'.
So since then. Mimi najua hivyo. Haya maneno yako ya jikoni sioni yanatokea wapi.
Alimpa hiyo gari aendeshe au aingie ndani kuliosha bila kuendesha?Hapo bima haifanyi kazi, ni kama kuliteketeza gari makusudi ili ulipwe. Mbaya zaidi hawa madogo wa car wash hawana hata leseni.
Mwizi asiye na leseni akiiba gari na kupata nalo ajali wakati anakimbizwa, bima watalipa?Kama huyo dogo ana leseni analipwa, ila kama hana leseni ni kesi nyingine.
Kaa kushotoSasa kama haikuwa na bima kubwa, unategemea nani atakulipa?
Huyu alikuwa Chizi hata kabla ya Tukio🤣🤣Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla...
Kwanini haina msaada?Hata bima haina msaada hapo.
Tuheshimu mali za watu.